Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,495
- 5,025
Kwa hio huko Nigeria ,South pia Ile huduma ya PPV( PAY PER VIEW )NI KUBWA?Ni sera tu ya nchi ikiwekwa Sawa linawezekana wenzetu wameanza mda sana na ni huduma nzuri na sio chonganishi ,mfano Jana game ya man u tu kupitia mfumo huo wenzio wamelipia na game ilipoisha ka kifurushi nako kakaisha,Je mkuu kama ulijilipua compact (nusu laki ongeza buku nne) target ikiwa man u Jana Leo unapambana na huba au unaicheki marudio.Kuna watu wana akili za ajabu ajabu..sijui ni kukosa elimu ya biashara au ni ujinga.
1. Kampuni hizi ni za kibiashara siyo NGI za msaada. Ili ziendelee kutoa huduma ni lazima kwanza zirudishe gharama za uendeshaji (operations costs)
2. Pricing strategy ni fani. Kampuni huamua kuja na pricing tofauti tofauti ili kuhakikisha mteja au wateja walio wengi wananufaika na kampuni yenyewe ikanufaika.
Kwa mfano unajua gharama ya kupiga simu kama huna bando. Hebu jaribu kiweka 5000 kwenye simu halafu piga simu bila kununua bando uone utaongea kwa muda gani.
Ni kweli wanaweza kutoa option ya kulipa.kwa sekunde, dakika au saa...lakini ujue gharama yake itakuwa kubwa saaaaaana kuliko kulipa kwa mwezi.