Malipo ya ving'amuzi yawe kwa namna mtumiaji anavyotumia

Malipo ya ving'amuzi yawe kwa namna mtumiaji anavyotumia

Haiwezekani mi nalipa elf 51 naangalia tu usiku plus safari za hapa na pale then mwingne aangalie since morning mpka saa saba tulipe kiwango sawa.
Kabisa Mkuu
Kuna emergency wiki au wiki mbili haupo nyumbani halafu ukifika mda kifurishi kinakata
 
Duh mkuu simu ina 8k ma hiyo 6G mkuu embu acha uongo mzee hiyo teknolojoa hata testing haijafanyika kwani uongo unakusaidia nini?
Mkuu tafuta nokia minima ya 6g utaiona sio mda itakua sokoni, simu za 8k zipo mfano Asus zenfon8
Teknolojia inakimbia Mkuu
 
Back
Top Bottom