G gibasisi JF-Expert Member Joined Jun 13, 2015 Posts 597 Reaction score 637 Jul 21, 2022 #41 Yaleyale ya bando za simu,pamoja na kelele zote serikali haikuwasikiliza itakuwaje hili
but_why Member Joined Aug 14, 2013 Posts 74 Reaction score 161 Jul 21, 2022 #42 muhim sana hii, the government must put an eye on this kwakweli
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70,791 Reaction score 98,334 Jul 21, 2022 #43 Erythrocyte said: Malawi pia ipo ila nadhani kwa elfu 8 ya Tz unapata kifurushi cha juu kabisa Click to expand... Uthibitisho tafadhari Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Erythrocyte said: Malawi pia ipo ila nadhani kwa elfu 8 ya Tz unapata kifurushi cha juu kabisa Click to expand... Uthibitisho tafadhari Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
A albert_daud Member Joined Aug 26, 2015 Posts 21 Reaction score 26 Jul 21, 2022 Thread starter #44 KAGAMEE said: Haiwezekani mi nalipa elf 51 naangalia tu usiku plus safari za hapa na pale then mwingne aangalie since morning mpka saa saba tulipe kiwango sawa. Click to expand... Kabisa Mkuu Kuna emergency wiki au wiki mbili haupo nyumbani halafu ukifika mda kifurishi kinakata
KAGAMEE said: Haiwezekani mi nalipa elf 51 naangalia tu usiku plus safari za hapa na pale then mwingne aangalie since morning mpka saa saba tulipe kiwango sawa. Click to expand... Kabisa Mkuu Kuna emergency wiki au wiki mbili haupo nyumbani halafu ukifika mda kifurishi kinakata
A albert_daud Member Joined Aug 26, 2015 Posts 21 Reaction score 26 Jul 21, 2022 Thread starter #45 pilato93 said: Duh mkuu simu ina 8k ma hiyo 6G mkuu embu acha uongo mzee hiyo teknolojoa hata testing haijafanyika kwani uongo unakusaidia nini? Click to expand... Mkuu tafuta nokia minima ya 6g utaiona sio mda itakua sokoni, simu za 8k zipo mfano Asus zenfon8 Teknolojia inakimbia Mkuu
pilato93 said: Duh mkuu simu ina 8k ma hiyo 6G mkuu embu acha uongo mzee hiyo teknolojoa hata testing haijafanyika kwani uongo unakusaidia nini? Click to expand... Mkuu tafuta nokia minima ya 6g utaiona sio mda itakua sokoni, simu za 8k zipo mfano Asus zenfon8 Teknolojia inakimbia Mkuu