KERO Malipo ya Wanafunzi Law School COHORT 39 wanaodai chuo (overpayment_refund) imekuwa danadana na wahusika hawajalipwa

KERO Malipo ya Wanafunzi Law School COHORT 39 wanaodai chuo (overpayment_refund) imekuwa danadana na wahusika hawajalipwa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Loyadom

Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
58
Reaction score
51
Inaelekea wiki ya pili sasa tangu wanafunzi hao wamalize masomo hapo na HESLB imekwisha watumia message za malipo yao, chuo wamekaa kimya na Ofisi ya Uhasibu hawatoi ushirikiano mzuri, ni uwajibikaji gani huo? Pesa hizo zinalipwa lini?

Dear .......... your loan item TU TZs 1,000,000.0 has been Approved. Visit HESLB APP to verify your payment within 30days
 
HESLB sasa hivi wanatoa mikopo hapo LST? Hongera kwao ni hatua nzuri
 
Pesa hizo zinalipwa lini? HESLB wametuma message kwa wahusika zipo tayari na wahusika hawapati kwa wakati, na wao kwasasa hawapo wameshamaliza muda wa masomo kwa intake yao .
 
Unaweza kuwa na hoja nzuri sana ila ufikishaji wako ukawa haueleweki kabisa.

Hivi ni mimi tu nimeona hiki kitu au na wengine.
Inakuwaje graduate tena wa sheria na aliyeenda Law school anaandika kitu hakieleweki??

Nachukia sana kwa msomi kutokuwa na writting skills.
Unawaabisha wasomi,unawaabisha wanasheria.

Kaaa tulia andika kitu kilichonyooka
 
Back
Top Bottom