Malisa akamatwa na Polisi, Namanga na kupelekwa kusikojulikana

Yule wa Kenya ndio alikuwa jasiri kusema alichofanyiwa
ila kile kitendo ni cha aibu hata kujitangaza kwamba nimefanyiwa
Wakenya culture yao iko tofauti kidogo na sisi wenyewe wanacopy European lifestyle.
Kwa mfano kwa culture yetu mwanaume kupika na kuoshq vyombo ni jambo la aibu ila kwa ulaya au Kenya ni jambo la kawaida
 
Huyo Mbowe ukute ndio aliye muuza Malissa, amekaa kitapeli km baba yake.
Sure ,NTU WA DILI na mwanae hawaaminiki tena ,wamekaa kidilidili ,Mbowe katika vitu ambavypo amechemka ni kutokwenda mahakamani kwenye kesi ya TAL.
 
Hivi haya mapoliCCM kwanini wanapenda kupoteza watu kipumbavu namna hii? Inakuwaje nchi inakuwa kama shamba la wanyama? Nchi hii ina mambo ya kiquma na kichoko sana.
 
Hebu mtu mmoja anifafanulie kosa la Malisa ni lipi?

Au kuwaita mabata Bata Wahed ndio inawauma sana?
 
Hapo wanakufunga mdomo kabisa nasikia huwa wanachukua na video kabisa ukisema nywee wanaziachia
Wanafanyiwa ni kwa wale ambao wanakamatwa na wasiojulikana ila kwa Case ya Malisa ni tofauti ,waliomkamata ni Uhamiaji kisha wakawakabidhi polisi ,kwahiyo angefanyiwa vitendo vvyovyote vya unyanyasaji angewashitaki wao kama wao na wangechukuliwa hatua kama wahalifu wengine.

Mimi nimeshuhudia polisi wanafungwa kwa kufanya jinai ,kwahiyo usije ukadhani polisi akikukamata na akambaka mtu basi hawezi kushitakiwa.
 
Kuna uzi wa Nairobi vs Dar,kwenye ule uzi kuna Mkenya IamLee alisema kama Gachagua au VP yryote Kenya angetekwa Kenya isingekalika. Hawa watu as long as wanateka na kuua ndugu zetu na sisi kukaa kimya kama kondoo wataendelea milele.
Yani mtu mkubwa kama VP anapotea hakuna taarifa yoyote ya maana wananchi wanaambiwa na bado raia wapo kimya.

Yani kama nchi ya manyumbu...Analiwa mmoja kati ya mamilioni na wao katika uwingi wao hawana cha kumfanya Simba mmoja,wanaishia kumwangalia tu mwenzao akiliwa mbele yao.

Nchi ya manyumbu hii,mkuu.
 
Ukimua uyu mmoja wanaibuka 50 , huu ujinga wa kipumbavu sana kwamba kuteka , kuua ndo suluhisho ,pumbabu zenu , mingine inaua inateka ipo kansa hata kwa wazazi wao .

Na mbaya ukiingia kwa mfumo huu ukiasi wanakuua.
Mwachieni, kwamba nchi iendeshwe na vilaza tu? Shenzi kabisa.
 
sio kwa Tanzania labda ulishuhudia nchi nyingine
 
Ulofa una uhusiano mno na akili mdebwedo
Uwe unakubali kushindwa siku zingine rafiki! ... kwani ungepita kimya ungepoteza nini?
Lofa wa leo akilifuma pande la dnahabu shambani kwake leo, kesho tayari utamuona ana akili kwakuwa amejiunga miongoni mwa matajiri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…