KIXI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 2,456
- 3,274
Kuna watu wakubwa sana wamepotezwa tena wana diplomasia sembuse huyoSubiri uone kama hawatatema BUNGO.
Kuna watu wakubwa sana wamepotezwa tena wana diplomasia sembuse huyoSubiri uone kama hawatatema BUNGO.
Huyu asirudi mpaka Nchi ikombolewa ,MaFUEL anamtamani sana.Huyu Hilda siku wakimshika 🙌🙌
God forbid
Maxence mtu wa haki ,ni mtu na nusu ,angekuwa mpesempese JF isingekuwepo.Hadi Maxence anasema WHAT THE *** kweli serikali yetu tuanze kuinyeyekea tu maana hakuna namna
Mtu Mweusi au ni mwenzao pia, mambo mengi Nchi hiiKuna wakati unajiuliza hawa wanaharakati wetu wanawaza nini!?,hii wiki yote tunajiuliza mtu mkubwa kama Nchimbi yupo wapi!?,bado bwana mdogo kama Malissa GJ anarudisha pua yake kutoka USA!??,hili nalo alihitaji kushauriwa!???... Wakati mwingine huwa nahisi matatizo watu wengine wanayatafuta wenyewe
Uliza familia za Gadaffi, Sadaam au MobutuHIZI KAULI HAZINA MSAADA KWA SASA
KINACHOTAKIWA NI KUPAMBANA NAO WAKATI HUU SIYO KUSUBIRI HABARI ZA KULIPWA NA VIZAZI VYAO.
Hayo matusi yamethibitishwa na nani? Mahakama si zipo?Unatukana viongozi, kusambaza habari za uongo kwa kutegemea public sympath?
Malisa GJ Leo alikuwa safarini kutoka Marekani ambapo amekuwa kwa zaidi ya miezi tisa (9), tangu alipoenda kuiwakilisha nchi yetu kama mtanzania pekee aliyechaguliwa na Wizara ya Mambo ya nje ya Marekani kwenda kupata mafunzo ya uongozi. Fursa ambayo hujitokeza kwa watanzania wachache sana kama ilivyowahi kutokea kwa aliyekuwa Rais wa awamu ya nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete.
View attachment 3660922
Alipofika Nairobi- Kenya asubuhi ya leo, alishindwa kuendelea na safari kutokana na kuwepo kwa mgomo wa wafanyakazi unaondelea katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta. Hivyo aliamua kusafiri kwa usafiri binafsi mpaka Namanga ambao ni mpaka kati ya nchi yetu na Kenya ili kuingia nchini kupitia Arusha.
Aliwasili Namanga majira ya saa tisa(9) mchana na kwenda kwa maafisa uhamiaji ili kugongewa hati ya kusafiria (Passport) na hatimaye kuingia nchini kama utaratibu unavyotaka.
Soma Pia: Malisa: Wakili Madeleka amekamatwa na watu waliojitambulisha ni polisi
Baada ya kufika kwa maafisa uhamiaji hao, walichukua hati yake ya kusafiria na kumwambia kuwa haisomeki kwenye mfumo (system) hivyo wao hawana namna ya kufanya mpaka mkuu wao (in- charge) aje ndio anaweza kuona kwenye mfumo.
Kutokana na kadhia hiyo, na kwa kuwa aliambiwa Mkuu huyo hayupo kwa muda Malisa GJ aliendelea kukaa katika ofisi hizo za uhamiaji akisubiri Mkuu huyo kuja na kuhakikisha tatizo hilo linapatiwa ufumbuzi.
Cha kushangaza ilipofika saa moja jioni, alichukuliwa na gari ambalo si la Polisi jeupe Double Cabin na kupelekwa kituo cha Polisi Longido. Hata hivyo gari hilo halikukaa sana likaondoka kuelekea uelekeo wa Arusha.
Mpaka natoa taarifa hii hakuna taarifa kamili za aliko Malisa GJ na nini ni sababu ya kukamatwa kwake. Aidha simu zake zote zimezimwa tangu alipokuwa anatolewa Namanga.
Nitoe rai kwa Polisi na Uhamiaji kumwachia huru mara moja au kuhakikisha wanatoa taarifa kwa umma za aliko Malisa GJ na sababu ya kukamatwa kwake. Kama haitoshi kuhakikisha anapewa haki zake za kisheria ikiwemo kuonana na mawakili wake na haki ya Mawasiliano.
Dickson Matata (Wakili)
31/8/2026
Arusha-Tanzania.
View attachment 3660903
kila siku hali inazidi kuwa mbaya matukio ya utekaji yanazidi kuongezeka kwa kweli sisi zetu ni dua tu
Tuache vyombo vya dola vifanye kazi yake. Havipangiwi.Malisa GJ Leo alikuwa safarini kutoka Marekani ambapo amekuwa kwa zaidi ya miezi tisa (9), tangu alipoenda kuiwakilisha nchi yetu kama mtanzania pekee aliyechaguliwa na Wizara ya Mambo ya nje ya Marekani kwenda kupata mafunzo ya uongozi. Fursa ambayo hujitokeza kwa watanzania wachache sana kama ilivyowahi kutokea kwa aliyekuwa Rais wa awamu ya nne Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete.
View attachment 3660922
Alipofika Nairobi- Kenya asubuhi ya leo, alishindwa kuendelea na safari kutokana na kuwepo kwa mgomo wa wafanyakazi unaondelea katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta. Hivyo aliamua kusafiri kwa usafiri binafsi mpaka Namanga ambao ni mpaka kati ya nchi yetu na Kenya ili kuingia nchini kupitia Arusha.
Aliwasili Namanga majira ya saa tisa(9) mchana na kwenda kwa maafisa uhamiaji ili kugongewa hati ya kusafiria (Passport) na hatimaye kuingia nchini kama utaratibu unavyotaka.
Soma Pia: Malisa: Wakili Madeleka amekamatwa na watu waliojitambulisha ni polisi
Baada ya kufika kwa maafisa uhamiaji hao, walichukua hati yake ya kusafiria na kumwambia kuwa haisomeki kwenye mfumo (system) hivyo wao hawana namna ya kufanya mpaka mkuu wao (in- charge) aje ndio anaweza kuona kwenye mfumo.
Kutokana na kadhia hiyo, na kwa kuwa aliambiwa Mkuu huyo hayupo kwa muda Malisa GJ aliendelea kukaa katika ofisi hizo za uhamiaji akisubiri Mkuu huyo kuja na kuhakikisha tatizo hilo linapatiwa ufumbuzi.
Cha kushangaza ilipofika saa moja jioni, alichukuliwa na gari ambalo si la Polisi jeupe Double Cabin na kupelekwa kituo cha Polisi Longido. Hata hivyo gari hilo halikukaa sana likaondoka kuelekea uelekeo wa Arusha.
Mpaka natoa taarifa hii hakuna taarifa kamili za aliko Malisa GJ na nini ni sababu ya kukamatwa kwake. Aidha simu zake zote zimezimwa tangu alipokuwa anatolewa Namanga.
Nitoe rai kwa Polisi na Uhamiaji kumwachia huru mara moja au kuhakikisha wanatoa taarifa kwa umma za aliko Malisa GJ na sababu ya kukamatwa kwake. Kama haitoshi kuhakikisha anapewa haki zake za kisheria ikiwemo kuonana na mawakili wake na haki ya Mawasiliano.
Dickson Matata (Wakili)
31/8/2026
Arusha-Tanzania.
View attachment 3660903
Tupe taarifa ndugu Mama pretty . Weka mambo hadharani tafadhali.Ni kweli kabisa… nina ushuhusa nalo!
huko kote bado wanaishi kama wapo jehanamu kiasi kwamba kila mtu anatesekaUliza familia za Gadaffi, Sadaam au Mobutu
Na Bashite ndiye muasisi wa kundi la watekaji wanaoitwa "wasiojulikana"!Sijui amekamatwa na nani.
Lakini Malissa,activist wa Chadema alikuwa anarudi toka Marekani ,amepita Namanga,amekuwa detained na Uhamiaji,amepotezwa.
This is bad news kwa sababu utakumbuka Malissa ndio alikuwa anapenda kusema "Bashite is illiterate"
Kwanini arudi nae si angekaa hukohuko
vp jombaa una husika kwa namna moja?Dua ya Kuku haimpati mwehe
Mtu akikamatwa na makosa yafaa apelekwe kwenye kituo cha polisi, kisha afunguliwe mashtaka kortini.. mambo ya kupoteza watu umepitwa na wakati. Wakoloni walitufanya hivi, ila tulipojinyakulia uhuru sasa ni ni sisi tunafanya ndugu zetu! Huu unyama tupige kelele for the sake of kizazi kijacho.Kuna uzi wa Nairobi vs Dar,kwenye ule uzi kuna Mkenya IamLee alisema kama Gachagua au VP yryote Kenya angetekwa Kenya isingekalika. Hawa watu as long as wanateka na kuua ndugu zetu na sisi kukaa kimya kama kondoo wataendelea milele.
Lengo gani hilo mkuu?Huwezi kumlaumu mtu kurudi nyumbani muda wowote anaotaka.
Jamaa yupo safi kichwani anajenga hoja vizuri sana.
Mimi naona huu ni mtego.
Alikuwa US miezi 9
Sio bure hapa na tayari wamenasa lengo lake limefanikiwa.
Hapana. Huo ni msemo wa siku nyingi Sana wa Mtaani tangu nikiwa primary nausikiaga watu walisema hivyo. Lakini sijui hata una maanisha ninivp jombaa una husika kwa namna moja?
Umeandika vyema,Ikumbukwe mellisa alikuwa nchini matekani ...
Kama inavyosemekana yaliyomtokea Roma Mkatoliki na nchi akaihama kabisa hataki kuisikia kabisaHapo wanakufunga mdomo kabisa nasikia huwa wanachukua na video kabisa ukisema nywee wanaziachia