ndammu
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 5,424
- 6,327
Onesha matusi aliyotukana.Unatukana viongozi, kusambaza habari za uongo kwa kutegemea public sympath?
Onesha matusi aliyotukana.Unatukana viongozi, kusambaza habari za uongo kwa kutegemea public sympath?
Kama idadi ya watu wanaopotea ingekuwa inaenda sambamba na kutukanwa kwa kiongozi basi awamu ya Kikwete mpaka sasaingekuwa inaongoza kwa idadi ya watu waliopotezwaYalikuwepo labda kwa vile hakukuwepo Simu janja na mitandao.Umewahi kujiuliza kwa nini kulikuwepo na vitabu kama Pepo ya Mabwege,Kivuli kinaishi,Wasakatonge nk..Sio kwamba watu walikuwa wanakubalia kila kitu hapana.Viongozi pia walijua kuvumilia na kusamehe tofauti na sasa.Naona visasi vinavyoitafuna Zambia vikaja kwenye nchi yetu mbeleni huko.Mbona Kikwete aliweza kuishi na watu wake pamoja na kusemwa na kutukanwa.Shida viongozi wa sasa wanaishi mitandaoni wanataka kila linaloongelewa walijue
Tatizo sio kukamatwa kwake Bali tatizo ni namba alivyo kamatwa.We kima ni nani uiagize jeshi la polisi? Alifikiri nini alivyokuwa anahamasisha vurugu, uasi, kumtukana Rais wa nchi mitandaoni. Watakamatwa moja baada ya mwingine Tanzania ni mama yetu wote huwezi kutumia mitandao kutaka kuiangamiza kisa uko nje ya nchi. Ajibu mashitaka yake hii nchi siyo ya kihuni wala ya kuichezea
Huwezi kumlaumu mtu kurudi nyumbani muda wowote anaotaka.Jamaa yuko smart sana ila sikuwahi kufikiri atakua mzembe kiasi hiki, alijiamini nini kurudi wakati huu? Tuombe Mungu tu awe salama.....ila amefanya kosa la kijinga sana....
Lengo lifanikiwe kwenye kukamatwa nafsi inakataa nikumuombea tu ndugu yetuHuwezi kumlaumu mtu kurudi nyumbani muda wowote anaotaka.
Jamaa yupo safi kichwani anajenga hoja vizuri sana.
Mimi naona huu ni mtego.
Alikuwa US miezi 9
Sio bure hapa na tayari wamenasa lengo lake limefanikiwa.
Hawawezi kumdhuru kimwili imani yangu inaniambia hivyo.Yupo tena muda sio mrefu watamwachiaLengo lifanikiwe kwenye kukamatwa nafsi inakataa nikumuombea tu ndugu yetu
Heri iwe hivyoHawawezi kumdhuru kimwili imani yangu inaniambia hivyo.Yupo tena muda sio mrefu watamwachia
kwanini hasirudi kwenye nchi aliyozaliwa wakati hana sababu zozote za kumfanya aishi nje ya Taifa lake ?Kwanini arudi nae si angekaa hukohuko
huyo jamaa anayejiita askofu naye anafanya mambo ya kijinga
Hapo wanakufunga mdomo kabisa nasikia huwa wanachukua na video kabisa ukisema nywee wanaziachiaNamuombea tu Kwa Mungu hao mapolisi wasimlawiti aiseeee kama wale wakenya waliokuja kusikiliza kesi ya TAL
WHAT THE FCK IS GOING IN OUR MOTHERFCKING COUNTRY ?Hadi Maxence anasema WHAT THE *** kweli serikali yetu tuanze kuinyeyekea tu maana hakuna namna
HIZI KAULI HAZINA MSAADA KWA SASAHawa umbwa wanafikiri watatawala TZ milele, nawaonea huruma sana, wasipolipa wao their next generations will pay dearly
chaiInasikitisha sana ,wakimpoteza huyo nadhani TZ itakuwa imemtia Kidole cha Macho "TRAMPO" lazima ataruka na NYINYI.
Ndio ATEKWE??..Asirudi Bongo aende wapi na muda wake ulishaisha. Uongozi alioenda kuusomea ni ule upuuzi aliokua akiandika mitandaoni? Sasa ngoja wamshughulikie ajue maana ya nchi, ajue maana ya dola. Hawa vijana wa chadema ni wapumbavu, hawana maarifa, hekima, busara, heshima wao wanachojua ni kutukana mtu yeyote. Hakuna nchi itaruhusu huo upuuzi hata hiyo Marekani ndiyo kabisa, we ni adui wa Taifa
Kuna uzi wa Nairobi vs Dar,kwenye ule uzi kuna Mkenya IamLee alisema kama Gachagua au VP yryote Kenya angetekwa Kenya isingekalika. Hawa watu as long as wanateka na kuua ndugu zetu na sisi kukaa kimya kama kondoo wataendelea milele.Hivi Hawa jamaa wanakiwa wagumu kama ngozi ya kichwa kwa nini?
Katika hali nchi inapitia Kuna matukio hayakupasaa kutokea,has hili la polisi kuteka watu bila sababu za msingi.
Huu uhuni waataacha lini?
wese⚡Watamuua
Subiri uone kama hawatatema BUNGO.chai