Malisa GJ huna uhalali wa kumlalamikia Nape kuku-block. Wewe ni kinara wa kupiga block

Huyo dogo fal* sana ..yaani anajionaga anaongea point kumbe pumba tu ...mimi aliniblock zamani sana baada ya kumpa live akashindwa kujibu hoja akanishia kuniblock...sasa yeye yamemkuta afunge dome lake mbona yeye anablock watu wengi sana wanaomchallenge ...Nape kafanya vizuri sana maana vijana wengi wana ujinga ujinga sana akiwemo malisa . ..
 
Leo kwenye post ya kada wa chama cha Mbowe ndugu Yericko Nyerere nimeona post inayoelezea kada mwenzie Malisa Godlisten akilalamikia kulamba Block toka kwa Mheshimiwa Nape huko Twitter. Mimi sifurahishwi kabisa na mambo ya watu kupigana block mitandaoni kwasababu ni mwanzo wa chuki na upotevu wa amani. Sio jambo dogo kama linavyochukuliwa. Ikitoka block ya mtandaoni itafuatia block ya nje ya mtandao ambayo ni mbaya sana.

Nimemwonea huruma Malisa kwa kilichomkuta ila naye akumbuke kuwa hana tofauti na Nape kwenye suala la block. Tena inawezekana Nape ana unafuu kuliko Malisa. Huyu kada wa CHADEMA ukitoa maoni tofauti na yake unakula block fasta. Wahanga wa hii tabia yake mbaya ni wengi sana. Malisa hana uvumilivu wowote wa kisiasa na dikteta aliyejificha kwenye mwamvuli wa kusaidia watu.

Kama ameamua kuwa msaidiaji wa wenye shida kupitia watanzania wenzake basi ajikite zaidi huko badala ya ku-block watu ambao pia huchangia pesa kila anapotoa wito. Malisa anafanya mazuri mengi ila anaharibu kwa kitu kidogo ambacho ni kutoruhusu mawazo tofauti kwenye mada zake anazopost. Tabia aliyo nayo Malisa ndo tabia ya madikteta wote waliowahi kuwepo duniani na waliopo kwa sasa.

Namkumbusha kijana huyu kubadilika kwa sababu tabia hii ikiendelea itazaa tabia nyjngine mbaya zaidi ya kutotaka kupingwa kwa lolote. Yeye akiitwa coward atafurahi? Kuhusu kusaidia wenye shida tuendelee kumuunga mkono.

View attachment 2695600
Yaani kupigwa block tena na mtu kama Nape ndio unaandika unamuonea huruma Malisa? U can't be serious bro!!
 
Wewe ndo hauko serious. Ingekuwa haijamuumiza Malisa asingetoka hadharani na kulia kwamba kala block.
 
Hivi "Coward" ni tusi???!!!! Mimi nilikuwa sijui eti
 
Malisa tapeli Sana...anafikiri atadanganya watu milele.

Anajinufaisha na misaada anayojifanya anachangisha ....

Siku moja ukweli utawekwa wazi...

Bado pia ni msambazaji mkubwa wa fake news
Si yeye tu bali wafuasi wengi wa Chadema na Sisiemu
 
Malisa tapeli Sana...anafikiri atadanganya watu milele.

Anajinufaisha na misaada anayojifanya anachangisha ....

Siku moja ukweli utawekwa wazi...

Bado pia ni msambazaji mkubwa wa fake news
member kama wewe kuandika kitu kama hiki kimenistua mno!!
 
Ni mweupe sana kichwani ila ana kipaji cha hali ya juu kwenye kuandika. Super talent. Yaani hata kama ni pumba utashawishika kuzisoma.
Mimi huwa simsomi kabisa.Mimi ninaamini smart people wanaandika short and clear. Huyo ngwini anaandika essai wala huwa simsomi kabisa.
 
Wewe ndo hauko serious. Ingekuwa haijamuumiza Malisa asingetoka hadharani na kulia kwamba kala block.
Hajalalamika kupigwa block Malisa amtuonyesha upeo mdogo wa akili wa Nape, akiwa kama Kiongozi tena wazir Kisha anatukana matusi ya nguoni mtandaoni anafaa kuendelea kuwa Wazir?
 
Malisa tapeli Sana...anafikiri atadanganya watu milele.

Anajinufaisha na misaada anayojifanya anachangisha
Siku moja ukweli utawekwa wazi...
Mkuu hebu weka hapa huo ushahidi ili tukomeshe tabia hii.
 
Malissa ni dikteta kama anaowapinga. Aliwahi kupost FB kuhusu bombardier za Magufuli na ndani ya ile post ilionekana hajui tofauti ya flight distance na driving distance nikamrekebisha bila matusi nikashangaa simpati tena wajuzi wakaniambia nimeshakula block. Toka siku ile simfuatilii tena kwa chochote
 
Hajalalamika kupigwa block Malisa amtuonyesha upepo mdogo wa akili wa Nape, akiwa kama Kiongozi tena wazir Kisha anatukana matusi ya nguoni mtandaoni anafaa kuendelea kuwa Wazir?
Mara ngapi Malisa katukana mmekaa kimya? Tena huyo Malisa hutukana kwa kichaga utadhani watu hawajui.. soma baadhi ya post zake mwishoni huchomekea neno la kichaga ambalo ni tusi.
 
Mimi huwa simsomi kabisa.Mimi ninaamini smart people wanaandika short and clear. Huyo ngwini anaandika essai wala huwa simsomi kabisa.
Kwenye kuandika msamehe tu. Ni sawa na umzuie Mwijaku au Steve Nyerere kuongea sana... ndo vipaji vyao.
 
Acha ujanja wa mbuzi kujambia mdomo. Malisa angemwita Mbowe coward siku alipozuia wanachama wake kushiriki maandamano ya UKUTA
Kumbe mbuzi anajambia mdomo???!!! Mimi sijui kama Iko hivyo aisee. Baada ya hayo narudi kwenye hoja ya msingi. Nani alikwambia "Coward" ni tusi? Inaonekana Kiingereza ni "Mamamkwe" kwako. Tumieni lugha za watu vizuri.
 
Kumbe mbuzi anajambia mdomo???!!! Mimi sijui kama Iko hivyo aisee. Baada ya hayo narudi kwenye hoja ya msingi. Nani alikwambia "Coward" ni tusi? Inaonekana Kiingereza ni "Mamamkwe" kwako. Tumieni lugha za watu viz
Coward inamaanisha hiyo K yako ya nyuma. Nadhani umeelewa.
 
Back
Top Bottom