Malisa GJ huna uhalali wa kumlalamikia Nape kuku-block. Wewe ni kinara wa kupiga block

Huyu Kilaza Malisa sijui huwa anajikuta ni nani?Mimi tokea kipindi kile 2015 aliposema eti wanakwenda kushtaki Uholanzi baada ya kushindwa uchaguzi,nilihitimisha kijana ni mwepesi sana.Sasa hivi huyu ni wa kumwita Nape Mjinga?Malisa bwana hebu na yeye atuwekee matokeo yake ya form four? AKIWA KAFAULU SANA BASI ATAKUWA NA DIV 3.
 
Wewe matokeo yako yapo wapi ukiwa na hio division one ya 7 ?
 
Leo kwenye post ya kada wa chama cha Mbowe ndugu Yericko Nyerere nimeona post inayoelezea kada mwenzie Malisa Godlisten akilalamikia kulamba Block toka kwa Mheshimiwa Nape huko Twitter. Mimi sifurahishwi kabisa na mambo ya watu kupigana block mitandaoni kwasababu ni mwanzo wa chuki na upotevu wa amani. Sio jambo dogo kama linavyochukuliwa. Ikitoka block ya mtandaoni itafuatia block ya nje ya mtandao ambayo ni mbaya sana.

Nimemwonea huruma Malisa kwa kilichomkuta ila naye akumbuke kuwa hana tofauti na Nape kwenye suala la block. Tena inawezekana Nape ana unafuu kuliko Malisa. Huyu kada wa CHADEMA ukitoa maoni tofauti na yake unakula block fasta. Wahanga wa hii tabia yake mbaya ni wengi sana. Malisa hana uvumilivu wowote wa kisiasa na dikteta aliyejificha kwenye mwamvuli wa kusaidia watu.

Kama ameamua kuwa msaidiaji wa wenye shida kupitia watanzania wenzake basi ajikite zaidi huko badala ya ku-block watu ambao pia huchangia pesa kila anapotoa wito. Malisa anafanya mazuri mengi ila anaharibu kwa kitu kidogo ambacho ni kutoruhusu mawazo tofauti kwenye mada zake anazopost. Tabia aliyo nayo Malisa ndo tabia ya madikteta wote waliowahi kuwepo duniani na waliopo kwa sasa.

Namkumbusha kijana huyu kubadilika kwa sababu tabia hii ikiendelea itazaa tabia nyjngine mbaya zaidi ya kutotaka kupingwa kwa lolote. Yeye akiitwa coward atafurahi? Kuhusu kusaidia wenye shida tuendelee kumuunga mkono.

View attachment 2695600
NAPE ALIMTUKANA MAGUFULI NA LOWASSA Kwanini asikumbushwe?
 
Sio yeye tuu kuna mwanaharakati anaitwa Maria "mtoto wa Sarungie" huyu naye anajinasibu anapambania "uhuru"/"Haki" lakini hapendi kuwa challenged hata kwa kuombwa fact tuu ya kile alichokisema, ukimhoji anakupa BLOCK so hawa wote ni aina ya watu wa ajabu sana wahubiri wa mambo wasiyoyatenda.
 
Mwanaume analalamika amekuwa blocked Twitter...
Vijana wa hovyo
 
Sio yeye tuu kuna mwanaharakati anaitwa Maria "mtoto wa Sarungie" huyu naye anajinasibu anapambania "uhuru"/"Haki" lakini hapendi kuwa challenged hata kwa kuombwa fact tuu ya kile alichokisema, ukimhoji anakupa BLOCK so hawa wote ni aina ya watu wa ajabu sana wahubiri wa mambo waiyoyatenda.
Wapo weak sana.Mimi ninaona watu wanaoblock watu wana weak spirit. Mimi hata utukane vipi yaani,wala sikublock.Utatukana weeee,utaaacha mwenyewe tu.
 
Watu wanalalamikia NAPE sababu kitambi chake kinatunzwa na miTOZO unayokatwa! MALISA unamlipa?
Kwahiyo kama halipwi ndo awe na tabia za kipumbavu? Acha ku-justify upumbavu
 
Wapo weak sana.Mimi ninaona watu wanaoblock watu wana weak spirit. Mimi hata utukane vipi yaani,wala sikublock.Utatukana weeee,utaaacha mwenyewe tu.
Nawashangaa kwakweli wanayoyapigia kelele kwa wenzao na wao ndio wanayoyafanya.
 
Huyu Kilaza Malisa sijui huwa anajikuta ni nani?Mimi tokea kipindi kile 2015 aliposema eti wanakwenda kushtaki Uholanzi baada ya kushindwa uchaguzi,nilihitimisha kijana ni mwepesi sana.Sasa hivi huyu ni wa kumwita Nape Mjinga?Malisa bwana hebu na yeye atuwekee matokeo yake ya form four? AKIWA KAFAULU SANA BASI ATAKUWA NA DIV 3.
Kama mtu alisoma SAUT kwa % kubwa itakuwa six hakufanya vizuri.
 
Leo kwenye post ya kada wa chama cha Mbowe ndugu Yericko Nyerere nimeona post inayoelezea kada mwenzie Malisa Godlisten akilalamikia kulamba Block toka kwa Mheshimiwa Nape huko Twitter. Mimi sifurahishwi kabisa na mambo ya watu kupigana block mitandaoni kwasababu ni mwanzo wa chuki na upotevu wa amani. Sio jambo dogo kama linavyochukuliwa. Ikitoka block ya mtandaoni itafuatia block ya nje ya mtandao ambayo ni mbaya sana.

Nimemwonea huruma Malisa kwa kilichomkuta ila naye akumbuke kuwa hana tofauti na Nape kwenye suala la block. Tena inawezekana Nape ana unafuu kuliko Malisa. Huyu kada wa CHADEMA ukitoa maoni tofauti na yake unakula block fasta. Wahanga wa hii tabia yake mbaya ni wengi sana. Malisa hana uvumilivu wowote wa kisiasa na dikteta aliyejificha kwenye mwamvuli wa kusaidia watu.

Kama ameamua kuwa msaidiaji wa wenye shida kupitia watanzania wenzake basi ajikite zaidi huko badala ya ku-block watu ambao pia huchangia pesa kila anapotoa wito. Malisa anafanya mazuri mengi ila anaharibu kwa kitu kidogo ambacho ni kutoruhusu mawazo tofauti kwenye mada zake anazopost. Tabia aliyo nayo Malisa ndo tabia ya madikteta wote waliowahi kuwepo duniani na waliopo kwa sasa.

Namkumbusha kijana huyu kubadilika kwa sababu tabia hii ikiendelea itazaa tabia nyjngine mbaya zaidi ya kutotaka kupingwa kwa lolote. Yeye akiitwa coward atafurahi? Kuhusu kusaidia wenye shida tuendelee kumuunga mkono.

View attachment 2695600
Watu ambao wakati wa JPM walifyata mkia sasa ndio wanajitutumua waktati hawaaminiki kwa ubadhirifu wa mali za umma
 
Back
Top Bottom