Malisa Godlisten
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 202
- 1,588
huna haja ya kubabaika na porojo gentleman,Ndugu zangu, Muda huu (mchana wa leo Disemba 20, 2025) askari wenye silaha wapo nyumbani kwa wazee wangu, kijiji cha Old Moshi Kidia. Leo wameenda na magari mawili, yenye namba za usajili.
Wamemuweka mama yangu mzazi(70) chini ya ulinzi na wamemnyang'anya simu. Majirani walioenda kushuhudia, nao wamewekwa chini ya ulinzi!
Tumewasiliana na Mwenyekiti wa Kijiji ili aende kujua nini kinaendelea lakini naye sasa hapatikani (bila shaka nae kawekwa chini ya ulinzi). Mpaka sasa hatujui nini kinaendelea.
Nalaani vikali tukio hili la kinyama. Ikiwa Polisi wananitafuta mimi, zipo njia nyingi wanaweza kutumia zilizowekwa kwa mujibu wa Sheria za Nchi kuliko kuwaghasi wazazi wangu ambao ni wazee. Huu ni unyama na haukubaliki
Tukio hili limetokea leo baada ya jana kutoa taarifa ya watu wasiojulikana (ambao hawakujitambulisha wala kuwa na magari yenye namba) kuvamia nyumbani usiku wa manane na kukata umeme.
Marafiki zetu ambao ni mawakili waliopo Moshi wanaelekea kijijini kutoa msaada wa kisheria. Naomba watu wa Old Moshi Kidia muende kwa wingi hapo nyumbani kujua kinachoendelea.
Uovu huu usikaliwe kimya!
Ufala huo Mzee hata kama unalipwa hiyo huku tatuAcha uzushi wako hapa wewe. Nani kakupa taarifa kuwa wapo chini ya ulinzi ilihali unasema hawana simu kwa kuwa wamenyang'anywa.
Sasa kama unajua unatafutwa na hutaki usumbufu kwa wazazi wako. Kwanini usiende kujisalimisha kituo cha polisi.
Nenda polisi ukatoe maelezo unayotoa hapa na siyo kuja kulialia hapa na kuichafua serikali yetu.
Acha uzushi wako hapa wewe. Nani kakupa taarifa kuwa wapo chini ya ulinzi ilihali unasema hawana simu kwa kuwa wamenyang'anywa.

We jamaa uko damaged beyond repair.Acha uzushi wako hapa wewe. Nani kakupa taarifa kuwa wapo chini ya ulinzi ilihali unasema hawana simu kwa kuwa wamenyang'anywa.
Sasa kama unajua unatafutwa na hutaki usumbufu kwa wazazi wako. Kwanini usiende kujisalimisha kituo cha polisi.
Nenda polisi ukatoe maelezo unayotoa hapa na siyo kuja kulialia hapa na kuichafua serikali yetu.
********Acha uzushi wako hapa wewe. Nani kakupa taarifa kuwa wapo chini ya ulinzi ilihali unasema hawana simu kwa kuwa wamenyang'anywa.
Sasa kama unajua unatafutwa na hutaki usumbufu kwa wazazi wako. Kwanini usiende kujisalimisha kituo cha polisi.
Nenda polisi ukatoe maelezo unayotoa hapa na siyo kuja kulialia hapa na kuichafua serikali yetu.
Jiulize na wewe, ama 'shikamoo' yako ilishakuletea manufaa tangu uanze kuamkua?Hivi hili neno "Nalaani/tunalaani vikali" lilishawahi wahi kuleta impact yoyote toka lianze kutumika??
Ipo siku utayalani haya unayosema ni uzushi. Yatakufika usiwe na shaka.Acha uzushi wako hapa wewe. Nani kakupa taarifa kuwa wapo chini ya ulinzi ilihali unasema hawana simu kwa kuwa wamenyang'anywa.