PostGE2025 Malisa: Wazazi wangu na majirani wamewekwa chini ya ulinzi na Polisi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Sema kuna kitu Malisa hajasema. Kwanini Polisi waende kwao na kuleta huo usumbufu? Ninaona kama vile Malisa ana kesi inayomhusu hivyo kaamua kuwatoroka Polisi. Pia baba yake Malisa ni inspekta wa polisi mstaafu. Malisa aweke kila kitu wazi.
Kama ametenda kosa yeye kwanini wasimsubitmri aje hadi waweke chini ya ulinzi watu wasio na hatia. Ccm ni majanga sana huo ujinga mnaoutumia kwasababu mnakosolewa hauna tija wacheni upumbavu.
 
Sema kuna kitu Malisa hajasema. Kwanini Polisi waende kwao na kuleta huo usumbufu? Ninaona kama vile Malisa ana kesi inayomhusu hivyo kaamua kuwatoroka Polisi. Pia baba yake Malisa ni inspekta wa polisi mstaafu. Malisa aweke kila kitu wazi.

Wewe ni mpbavu kweli. Anayetakiwa kusema hayo ni Malisa au polisi? Wazazi wake wana uhusiano gani ma kesi hiyo, Kama itKuwepo unavodai?
 
Acha uzushi wako hapa wewe. Nani kakupa taarifa kuwa wapo chini ya ulinzi ilihali unasema hawana simu kwa kuwa wamenyang'anywa.

Sasa kama unajua unatafutwa na hutaki usumbufu kwa wazazi wako. Kwanini usiende kujisalimisha kituo cha polisi.

Nenda polisi ukatoe maelezo unayotoa hapa na siyo kuja kulialia hapa na kuichafua serikali yetu.
Mshangazi mkubwa wewe
 
We fala kichwa kimejaa maji tupu hicho.
 
Acha uzushi wako hapa wewe. Nani kakupa taarifa kuwa wapo chini ya ulinzi ilihali unasema hawana simu kwa kuwa wamenyang'anywa.

Sasa kama unajua unatafutwa na hutaki usumbufu kwa wazazi wako. Kwanini usiende kujisalimisha kituo cha polisi.

Nenda polisi ukatoe maelezo unayotoa hapa na siyo kuja kulialia hapa na kuichafua serikali yetu.
Ujinga mzigo aisee
 
Mental illness
 
Wakati mwingine ndugu zangu wananchi msikubali vilaza kushika madaraka makubwa ndani ya nchi yenu. Matokeo yake ndiyo haya sasa.

Matumizi makubwa ya nguvu hata kwenye mambo madogo, vitisho, utekaji, utesaji, uonevu, dhuluma, mauaji, vichambo, nk ndiyo hutawala. Halafu akili na busara hubakia kuwa vitu vya ziada tu kwa upande wao.
 
Kama Waziri na mbunge mstaafu Godfrey Mwambe alikamatwa kinyemela, akateswa na kushikiliwa kinyume na sheria za nchi kwa siku kadhaa, mpaka pale wakili wake alipoamua kufungua shauri mahakamani!

Ni dhahiri hii nchi kwa sasa imeshapoteza muelekeo! Na hata sasa nchi inaongozwa na magenge ya uhalifu. Sidhani kama tuna utawala wa sheria. Hivi usishangae hata hivi vifo vya baadhi ya vigogo ndani ya chama na serikali vikawa na walakini!
 
Kama ishu ni kuwashikilia wazazi wako ili wewe upatikane, huo ni uonevu.
Hao yapasa kuwachukulia kama majambazi tu. Dawa ya jambazi ni kiberiti.
Himiza wananzengo hapo kidia wawatie moto hao wendawazimu.
Unawatia vipi kiberiti wakiwa na silaha za moto?hata akiwa mmoja tu ana mkwaju nyie mko wengi kuna atae thubutu kumsogelea??au tunaamua kujifurahisha tu kwa kuongea vitu ambavyo tunatamani vitokee lakini kiuhalisia ni haiwezekani
 
huna haja ya kubabaika na porojo gentleman,
raia wema daima hushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama ikiwa kuana jambo lenye kutia mashaka.

nitoe rai kwa waTanzania wote kuacha kujaribu kutia chumvi kwenye mambo ambayo ni ya kawaida kabisa kama hili analojaribu kupotosha huyo muungwana :BillyApprove:
Acha uzushi wako hapa wewe. Nani kakupa taarifa kuwa wapo chini ya ulinzi ilihali unasema hawana simu kwa kuwa wamenyang'anywa.

Sasa kama unajua unatafutwa na hutaki usumbufu kwa wazazi wako. Kwanini usiende kujisalimisha kituo cha polisi.

Nenda polisi ukatoe maelezo unayotoa hapa na siyo kuja kulialia hapa na kuichafua serikali yetu.
Ila nyie watu hata aibu hamna. Sometimes aibu inasaidia usifamye mambo fulani.
 
Ila nyie watu hata aibu hamna. Unaweza. Sometimes aibu inasaidia usifamye mambo fulani.
Gentleman,
there is no rooms for criminals ni TZ, but also there is completely no escape roots for terrorists and mercenaries.

And be informed that,
hakuna kuona huruma, hakuna kuona haya wala kuona aibu kumshughulikia haramia au gaidi anaeharibu miundombinu ya umma au binafsi ya waTanzania. Toa ushirikianao kwa vyombo vya ulinzi na usalama ikiwa ni raia mwema :MODS:
 
Back
Top Bottom