PostGE2025 Malisa: Wazazi wangu na majirani wamewekwa chini ya ulinzi na Polisi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
POLE SANA , NAIMANI SWALA HILI LITAFANYIWA KAZI .
Juzi Simbachawene anajifanya kusema watu wasikamatwe kininja, lakini hilo linaendelea na wala hawezi kuzuia. Ni kama alikuwa anawafanya watu waache kujilinda ili watekwe. Nilisema juzi hakuna mtekaji yoyote anayetii amri ya waziri, maana kundi la watekaji ni la rais na genge lake. Nyie wahubiri amani uchwara tunawachora tu maana hamna jipya.
 
Acha uzushi wako hapa wewe. Nani kakupa taarifa kuwa wapo chini ya ulinzi ilihali unasema hawana simu kwa kuwa wamenyang'anywa.

Sasa kama unajua unatafutwa na hutaki usumbufu kwa wazazi wako. Kwanini usiende kujisalimisha kituo cha polisi.

Nenda polisi ukatoe maelezo unayotoa hapa na siyo kuja kulialia hapa na kuichafua serikali yetu.

Acheni kujazana ujinga jinga hapa. Sasa kwanini mtu aje kulialia hapa kama kengele badala ya kwenda kuripoti kituo cha polisi.

Kwanini asiende kupeleka maelezo yake polisi na malalamiko yake juu ya wazazi wake kusumbuliwa? Yeye si amesema wanamtafuta yeye? Sasa si aende kituo cha polisi? Nini anaogopa ? Kwamba hajui vituo vya polisi vilivyo? Si mnataka haki ?
kwani unajua yupo nchi Gani kwa Sasa? au umeamua kukurupuka *******
 
Unawatia vipi kiberiti wakiwa na silaha za moto?hata akiwa mmoja tu ana mkwaju nyie mko wengi kuna atae thubutu kumsogelea??au tunaamua kujifurahisha tu kwa kuongea vitu ambavyo tunatamani vitokee lakini kiuhalisia ni haiwezekani
We jamaa usituuzie woga wa kindezi.
Yaani kijiji kizima kimuogope ndata mmoja mwenye mjegejo?!
 
Ndugu zangu, Muda huu (mchana wa leo Disemba 20, 2025) askari wenye silaha wapo nyumbani kwa wazee wangu, kijiji cha Old Moshi Kidia. Leo wameenda na magari mawili, yenye namba za usajili.

Wamemuweka mama yangu mzazi(70) chini ya ulinzi na wamemnyang'anya simu. Majirani walioenda kushuhudia, nao wamewekwa chini ya ulinzi!

Tumewasiliana na Mwenyekiti wa Kijiji ili aende kujua nini kinaendelea lakini naye sasa hapatikani (bila shaka nae kawekwa chini ya ulinzi). Mpaka sasa hatujui nini kinaendelea.

Nalaani vikali tukio hili la kinyama. Ikiwa Polisi wananitafuta mimi, zipo njia nyingi wanaweza kutumia zilizowekwa kwa mujibu wa Sheria za Nchi kuliko kuwaghasi wazazi wangu ambao ni wazee. Huu ni unyama na haukubaliki

Tukio hili limetokea leo baada ya jana kutoa taarifa ya watu wasiojulikana (ambao hawakujitambulisha wala kuwa na magari yenye namba) kuvamia nyumbani usiku wa manane na kukata umeme.

Marafiki zetu ambao ni mawakili waliopo Moshi wanaelekea kijijini kutoa msaada wa kisheria. Naomba watu wa Old Moshi Kidia muende kwa wingi hapo nyumbani kujua kinachoendelea.

Uovu huu usikaliwe kimya!
Mwanzo si mlisema ametekwa saa hizi tena mnaleta story nyingine!! Nyumbu promax ni shida sana!
 
Ninajitahidi sana kukulindia heshima ila kwa hii comment yako inakuwa ngumu kutotamka kuwa wewe ni K♡MA.

Unilindie heshima mimi babako wa kambo? We namna gani buana! 😀🤷🏾‍♂️
 
Ndugu zangu, Muda huu (mchana wa leo Disemba 20, 2025) askari wenye silaha wapo nyumbani kwa wazee wangu, kijiji cha Old Moshi Kidia. Leo wameenda na magari mawili, yenye namba za usajili.

Wamemuweka mama yangu mzazi(70) chini ya ulinzi na wamemnyang'anya simu. Majirani walioenda kushuhudia, nao wamewekwa chini ya ulinzi!

Tumewasiliana na Mwenyekiti wa Kijiji ili aende kujua nini kinaendelea lakini naye sasa hapatikani (bila shaka nae kawekwa chini ya ulinzi). Mpaka sasa hatujui nini kinaendelea.

Nalaani vikali tukio hili la kinyama. Ikiwa Polisi wananitafuta mimi, zipo njia nyingi wanaweza kutumia zilizowekwa kwa mujibu wa Sheria za Nchi kuliko kuwaghasi wazazi wangu ambao ni wazee. Huu ni unyama na haukubaliki

Tukio hili limetokea leo baada ya jana kutoa taarifa ya watu wasiojulikana (ambao hawakujitambulisha wala kuwa na magari yenye namba) kuvamia nyumbani usiku wa manane na kukata umeme.

Marafiki zetu ambao ni mawakili waliopo Moshi wanaelekea kijijini kutoa msaada wa kisheria. Naomba watu wa Old Moshi Kidia muende kwa wingi hapo nyumbani kujua kinachoendelea.

Uovu huu usikaliwe kimya!
pole sana mkuu..kwa sas nchi inaongozwa na vibaka wenye uchu wa madaraka lkn yote haya yana mwisho wake pole sana
 
Acha uzushi wako hapa wewe. Nani kakupa taarifa kuwa wapo chini ya ulinzi ilihali unasema hawana simu kwa kuwa wamenyang'anywa.

Sasa kama unajua unatafutwa na hutaki usumbufu kwa wazazi wako. Kwanini usiende kujisalimisha kituo cha polisi.

Nenda polisi ukatoe maelezo unayotoa hapa na siyo kuja kulialia hapa na kuichafua serikali yetu.
we matako ya bibi yako .....uache tabia za kishoga kwenye mambo muhimu ...ipo siku utapakatwa endelea kuleta shobo za kichawa
 
huna haja ya kubabaika na porojo gentleman,
raia wema daima hushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama ikiwa kuana jambo lenye kutia mashaka.

nitoe rai kwa waTanzania wote kuacha kujaribu kutia chumvi kwenye mambo ambayo ni ya kawaida kabisa kama hili analojaribu kupotosha huyo muungwana :BillyApprove:
jitie kidole la kati afu umpe mama yako alambe....upunguze usenge hii nchi si mama yako .
 
huna haja ya kubabaika na porojo gentleman,
raia wema daima hushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama ikiwa kuana jambo lenye kutia mashaka.

nitoe rai kwa waTanzania wote kuacha kujaribu kutia chumvi kwenye mambo ambayo ni ya kawaida kabisa kama hili analojaribu kupotosha huyo muungwana :BillyApprove:
Kwa comments kama hizi nakaribia kuiacha na kutoitumia jf so annoying!
 
Daah yaani kwa kweli tunaishi na Mashetani 😔 Wazazi wa mtu seriously 😐 Ila sasa this is too much 😔
 
huna haja ya kubabaika na porojo gentleman,
raia wema daima hushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama ikiwa kuana jambo lenye kutia mashaka.

nitoe rai kwa waTanzania wote kuacha kujaribu kutia chumvi kwenye mambo ambayo ni ya kawaida kabisa kama hili analojaribu kupotosha huyo muungwana :BillyApprove:
Mkuu je umesikia kuwa Mkuu wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro kasema hajui chochote ilihali tayari mpaka RB imetolewa?!
 
Sema kuna kitu Malisa hajasema. Kwanini Polisi waende kwao na kuleta huo usumbufu? Ninaona kama vile Malisa ana kesi inayomhusu hivyo kaamua kuwatoroka Polisi. Pia baba yake Malisa ni inspekta wa polisi mstaafu. Malisa aweke kila kitu wazi.
Hilo kosa linawapa watu mamlaka kuwashikilia wazazi wa mtuhumiwa kwa niaba ya mtoto wao?
Sheria ya wapi?
 
Acha uzushi wako hapa wewe. Nani kakupa taarifa kuwa wapo chini ya ulinzi ilihali unasema hawana simu kwa kuwa wamenyang'anywa.

Sasa kama unajua unatafutwa na hutaki usumbufu kwa wazazi wako. Kwanini usiende kujisalimisha kituo cha polisi.

Nenda polisi ukatoe maelezo unayotoa hapa na siyo kuja kulialia hapa na kuichafua serikali yetu.
We jamaa sio mzima kumbe!
 
Lucas usiwe mjinga wa kiwango hiki.

Unachokifanya hata hao walioenda hapo kwa Kina Malisa, waliowatuma wote wanakuona hamnazo.

Wewe unafikiri wao watakuona wa maana? Wenzako wapo kazini, wewe? Wenzako wameagizwa, wewe?

Kama huwezi kutetea wanaoonewa kaa kimya. Kwa sababu muoneaji anajua anachokifanya. Wewe unayeshabikia uonevu unafikiri hata hao waonevu wanakuona upo upande wao?
Wanakuona Snitch. Coward.

Watu kama nyie mtu haitaji kulipwa kuwafanyia ubaya.

Usipende kushabikia michezo ya kihuni wakati wewe sio mshiriki.
Hautakuwa upande wowote ule.
Sio wa muoneaji wala muonewa
Hii point imeenda PHD shida ya vilaza wa mbogamboga wanajiona Dunia yao hii
 
Sema kuna kitu Malisa hajasema. Kwanini Polisi waende kwao na kuleta huo usumbufu? Ninaona kama vile Malisa ana kesi inayomhusu hivyo kaamua kuwatoroka Polisi. Pia baba yake Malisa ni inspekta wa polisi mstaafu. Malisa aweke kila kitu wazi.
Kuondoka kwake nchini si kuli-idhinishwa na uhamiaji??
 
Kuna watu wanadhani wewe ni msukule na mara zote ninapowaambia kuwa wewe ni msomi wa ngazi ya chuo kikuu tena Mwalimu wananikatalia.
Sasa hapa sijaelewa unamaanisha huyu MASHAMBA ni njaa inamsumbua au ndo unamsifia😂😂 maana kama ni njaa asilimia kubwa ya wtz tunayo sasa huyu yeye vip
 
Acha uzushi wako hapa wewe. Nani kakupa taarifa kuwa wapo chini ya ulinzi ilihali unasema hawana simu kwa kuwa wamenyang'anywa.

Sasa kama unajua unatafutwa na hutaki usumbufu kwa wazazi wako. Kwanini usiende kujisalimisha kituo cha polisi.

Nenda polisi ukatoe maelezo unayotoa hapa na siyo kuja kulialia hapa na kuichafua serikali yetu.
Mtu atoke United States aje kujisalimisha kwa wahuni?
 
Back
Top Bottom