PostGE2025 Malisa: Wazazi wangu na majirani wamewekwa chini ya ulinzi na Polisi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ndugu zangu, Muda huu (mchana wa leo Disemba 20, 2025) askari wenye silaha wapo nyumbani kwa wazee wangu, kijiji cha Old Moshi Kidia. Leo wameenda na magari mawili, yenye namba za usajili.

Wamemuweka mama yangu mzazi(70) chini ya ulinzi na wamemnyang'anya simu. Majirani walioenda kushuhudia, nao wamewekwa chini ya ulinzi!

Tumewasiliana na Mwenyekiti wa Kijiji ili aende kujua nini kinaendelea lakini naye sasa hapatikani (bila shaka nae kawekwa chini ya ulinzi). Mpaka sasa hatujui nini kinaendelea.

Nalaani vikali tukio hili la kinyama. Ikiwa Polisi wananitafuta mimi, zipo njia nyingi wanaweza kutumia zilizowekwa kwa mujibu wa Sheria za Nchi kuliko kuwaghasi wazazi wangu ambao ni wazee. Huu ni unyama na haukubaliki

Tukio hili limetokea leo baada ya jana kutoa taarifa ya watu wasiojulikana (ambao hawakujitambulisha wala kuwa na magari yenye namba) kuvamia nyumbani usiku wa manane na kukata umeme.

Marafiki zetu ambao ni mawakili waliopo Moshi wanaelekea kijijini kutoa msaada wa kisheria. Naomba watu wa Old Moshi Kidia muende kwa wingi hapo nyumbani kujua kinachoendelea.

Uovu huu usikaliwe kimya!
Samia Shangingi hata utumie unyama wa aina gani it's not possible to force people of Tanganyika to like you, haupendwi na una gundu labda tu kama unafanya unyama huu ikiwa ni namna yako ya kuwakomoa, kuwatesa na kuwakomesha Watanganyika basi kwenye hilo kongole nyingi kwako. Ngoja sisi tuugulie huku tukiweka visasi kwako, kwa familia yako, kwa wanufaika wa ufisadi wako na kwa Zanzibar ili pale uprising itakapoiva targets ziwe obvious.
 
mkund wewe unaishi Dunia ya wapi unataka taarifa itolewe na walionyang'anywa simu pekee? na malisa gj hayupo tz ? we ni fala sana mwashambwa
 
Acha uzushi wako hapa wewe. Nani kakupa taarifa kuwa wapo chini ya ulinzi ilihali unasema hawana simu kwa kuwa wamenyang'anywa.

Sasa kama unajua unatafutwa na hutaki usumbufu kwa wazazi wako. Kwanini usiende kujisalimisha kituo cha polisi.

Nenda polisi ukatoe maelezo unayotoa hapa na siyo kuja kulialia hapa na kuichafua serikali yetu.
mkund wewe unaishi Dunia ya wapi unataka taarifa itolewe na walionyang'anywa simu pekee? na malisa gj hayupo tz ? we ni fala sana mwashambwa
 
Embu acheni ujinga wenu hapa nyie. Kwanini hamtaki aende polisi kuripoti?

Nimekutahadharisha tuu nafikiri kuna mambo huyaelewi kuhusu ushenzi, uhuni, na haki.

Shetani na Mungu ni marafiki.
Wahuni na wenye haki ni pande mbili za shilingi.
Sasa wewe fikiria hao wahuni ni midoli isiyo na akili.

Wahuni hawatakaga washabiki masnitch kama wewe. Piga kimya au kaa upande wa haki. Kwani hata wao hawapendi wanachokifanya.

Narudia wahuni hawapendagi ushabiki wa kisengerema kama wako. Wenzako wapo kazini unaleta ujingaujinga

Ni ushauri tuu.
 
Acheni kujazana ujinga jinga hapa. Sasa kwanini mtu aje kulialia hapa kama kengele badala ya kwenda kuripoti kituo cha polisi.

Kwanini asiende kupeleka maelezo yake polisi na malalamiko yake juu ya wazazi wake kusumbuliwa? Yeye si amesema wanamtafuta yeye? Sasa si aende kituo cha polisi? Nini anaogopa ? Kwamba hajui vituo vya polisi vilivyo? Si mnataka haki ?
 
Ndugu zangu, Muda huu (mchana wa leo Disemba 20, 2025) askari wenye silaha wapo nyumbani kwa wazee wangu, kijiji cha Old Moshi Kidia. Leo wameenda na magari mawili, yenye namba za usajili.

Wamemuweka mama yangu mzazi(70) chini ya ulinzi na wamemnyang'anya simu. Majirani walioenda kushuhudia, nao wamewekwa chini ya ulinzi!

Tumewasiliana na Mwenyekiti wa Kijiji ili aende kujua nini kinaendelea lakini naye sasa hapatikani (bila shaka nae kawekwa chini ya ulinzi). Mpaka sasa hatujui nini kinaendelea.

Nalaani vikali tukio hili la kinyama. Ikiwa Polisi wananitafuta mimi, zipo njia nyingi wanaweza kutumia zilizowekwa kwa mujibu wa Sheria za Nchi kuliko kuwaghasi wazazi wangu ambao ni wazee. Huu ni unyama na haukubaliki

Tukio hili limetokea leo baada ya jana kutoa taarifa ya watu wasiojulikana (ambao hawakujitambulisha wala kuwa na magari yenye namba) kuvamia nyumbani usiku wa manane na kukata umeme.

Marafiki zetu ambao ni mawakili waliopo Moshi wanaelekea kijijini kutoa msaada wa kisheria. Naomba watu wa Old Moshi Kidia muende kwa wingi hapo nyumbani kujua kinachoendelea.

Uovu huu usikaliwe kimya!
We mwenyewe uko wapi,kenya?..mchuma janga hula na wa kwao
 
Acheni kujazana ujinga jinga hapa. Sasa kwanini mtu aje kulialia hapa kama kengele badala ya kwenda kuripoti kituo cha polisi.
Kwanini asiende kupeleka maelezo yake polisi na malalamiko yake juu ya wazazi wake kusumbuliwa? Yeye si amesema wanamtafuta yeye? Sasa si aende kituo cha polisi? Nini anaogopa ? Kwamba hajui vituo vya polisi vilivyo? Si mnataka haki ?

Hayo ya kwenda Polisi umefuatilia hajaenda?

Narudia tena, ndugu Lucas

Saikolojia na falsafa za wahuni wote duniani hazipatani na watu wenye mitazamo kama yako.
Wahuni wengi hufanya KAZI hatari na haramu kwa kulipwa.
Lakini nakuhakikishia wakipewa KAZI kuja kwako hawatahitaji Malipo.

Usipende kushabikia uhuni. Hao Polisi wenyewe wanakushangaa.

Usilete siasa kwenye maisha ya watu wasiokuhusu. Hulipwi. Tena watu wanaoonewa.

Kushabikia kwako chama Fulani cha siasa kisikufanya ukapoteza UTU. Hukohuko chamani na haohao unaowashabikia kuna Siku watakushughulikia. Shauri yako.
 
Ndugu zangu, Muda huu (mchana wa leo Disemba 20, 2025) askari wenye silaha wapo nyumbani kwa wazee wangu, kijiji cha Old Moshi Kidia. Leo wameenda na magari mawili, yenye namba za usajili.

Wamemuweka mama yangu mzazi(70) chini ya ulinzi na wamemnyang'anya simu. Majirani walioenda kushuhudia, nao wamewekwa chini ya ulinzi!

Tumewasiliana na Mwenyekiti wa Kijiji ili aende kujua nini kinaendelea lakini naye sasa hapatikani (bila shaka nae kawekwa chini ya ulinzi). Mpaka sasa hatujui nini kinaendelea.

Nalaani vikali tukio hili la kinyama. Ikiwa Polisi wananitafuta mimi, zipo njia nyingi wanaweza kutumia zilizowekwa kwa mujibu wa Sheria za Nchi kuliko kuwaghasi wazazi wangu ambao ni wazee. Huu ni unyama na haukubaliki

Tukio hili limetokea leo baada ya jana kutoa taarifa ya watu wasiojulikana (ambao hawakujitambulisha wala kuwa na magari yenye namba) kuvamia nyumbani usiku wa manane na kukata umeme.

Marafiki zetu ambao ni mawakili waliopo Moshi wanaelekea kijijini kutoa msaada wa kisheria. Naomba watu wa Old Moshi Kidia muende kwa wingi hapo nyumbani kujua kinachoendelea.

Uovu huu usikaliwe kimya!
Hili halishangazi kwa utawala huu wa Samia na Madelu.
 
Ameenda kituo kipo? Unaweza kuweka picha hapa akienda na akiwa kituo cha polisi? Unaweza kuweka taarifa ya yeye kwenda kuripoti kituo chochote cha polisi? Je ndio taarifa yake inavyosema ? Unaweza kuonyesha aliposema kaenda? Embu cha kukurupuka na kutetea ujinga hapa.
 
Kwani Polisi walikuambia wanamhitaji?
Yeye karipoti watu wasiojulikana Jana walifika nyumbani kwa wazazi wake.

Narudia, usiwe mjinga wa kiwango hiki.

Wenzako watalipwa pesa, watakula na familia zao.
Wanaotetea haki wanaamini watapewa thawabu na Muumba wao.

Swali kwako; wewe unapata nini Katika hili?
Pesa? Au thawabu kutoka kwa Mingy?
Au hupati chochote?

Ukishajiuliza hapo ndipo utajiona jinsi ulivyo mjinga. Na jinsi wahuni wanavyokuchukulia.

Hiya ndio tafsiri ya mtu wa hivihivi. Mtu usiye na faida.
Pesa hupati, na Baraka(thawabu) kwa Mungu wako hupati.
Upoupo.

Narudia... Chama chochote usionyeshe ujinga wa kiwango hiki.
 
Umejuaje na amejuaje ni watu wasiojulikana? Kama ni watu wasiojulikana kwanini awahusishe na polisi? Kama ni watu wasiojulikana kwanini sasa asiende kuripoti polisi? Kama ni watu wasio julikana kwanini na inawezekana vipi wawawekee familia mpaka majirani chini ya ulinzi na wao wakae kimya bila kutoa taarifa polisi kwa ajili ya hatua kali?

Hujitambui kabisa wewe.
 
😂😂😂
Shauri yako. Mambo hayaendi hivyo.🤓.
Ukipewa kazi usisahau weledi.

Ukijipa kazi usisahau akili.

Mwisho jiulize unapata faida gani maana Hilo ndio swali utakalo ulizwa.
Unalipwa?
Unapata faida?
Pesa au thawabu?

Kama hupati chochote Kati ya hayo. Jitafakari Sana.
 
Hawana sifa hiyo. Siyo wapumbavu, lakini wewe umeonesha upumbavu. kwahiyo, wewe ni mpumbavu.
Ninajitahidi sana kukulindia heshima ila kwa hii comment yako inakuwa ngumu kutotamka kuwa wewe ni K♡MA.
 
Ndugu zangu, Muda huu (mchana wa leo Disemba 20, 2025) askari wenye silaha wapo nyumbani kwa wazee wangu, kijiji cha Old Moshi Kidia. Leo wameenda na magari mawili, yenye namba za usajili.

Wamemuweka mama yangu mzazi(70) chini ya ulinzi na wamemnyang'anya simu. Majirani walioenda kushuhudia, nao wamewekwa chini ya ulinzi!

Tumewasiliana na Mwenyekiti wa Kijiji ili aende kujua nini kinaendelea lakini naye sasa hapatikani (bila shaka nae kawekwa chini ya ulinzi). Mpaka sasa hatujui nini kinaendelea.

Nalaani vikali tukio hili la kinyama. Ikiwa Polisi wananitafuta mimi, zipo njia nyingi wanaweza kutumia zilizowekwa kwa mujibu wa Sheria za Nchi kuliko kuwaghasi wazazi wangu ambao ni wazee. Huu ni unyama na haukubaliki

Tukio hili limetokea leo baada ya jana kutoa taarifa ya watu wasiojulikana (ambao hawakujitambulisha wala kuwa na magari yenye namba) kuvamia nyumbani usiku wa manane na kukata umeme.

Marafiki zetu ambao ni mawakili waliopo Moshi wanaelekea kijijini kutoa msaada wa kisheria. Naomba watu wa Old Moshi Kidia muende kwa wingi hapo nyumbani kujua kinachoendelea.

Uovu huu usikaliwe kimya!
Pole sana Mkuu ,kama vipi jipange vizuri huko kwa Trump ,utafute asylum kisha uhamishe familia yako waje kwa Trump then UTOKEE PEMBENI dakika za Mwishoni uwe unapiga kwenye MSHONO na KICHWANI mpaka WAHUNI na BIBI CHURA wamalize muda wao ndiyo urudi Bongo.
 
Majizi ya polisi yanazidi kujiandikia historia chafu. Hawa jamaa ni majambazi wanaovaa uniforms. Mbaya zaidi walivyo vilaza wanakuwa easily brainwashed na corrupt politicians 🤡
 
Back
Top Bottom