PostGE2025 Malisa: Wazazi wangu na majirani wamewekwa chini ya ulinzi na Polisi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Acha uzushi wako hapa wewe. Nani kakupa taarifa kuwa wapo chini ya ulinzi ilihali unasema hawana simu kwa kuwa wamenyang'anywa.

Sasa kama unajua unatafutwa na hutaki usumbufu kwa wazazi wako. Kwanini usiende kujisalimisha kituo cha polisi.

Nenda polisi ukatoe maelezo unayotoa hapa na siyo kuja kulialia hapa na kuichafua serikali yetu.
Lucas mwashambwa wakati mwingine sio lazima kuleta mizaha kejeri, dharau na lugha za maudhii ni nini hapo unacho taka kukifanya .
 
Ndugu zangu, Muda huu (mchana wa leo Disemba 20, 2025) askari wenye silaha wapo nyumbani kwa wazee wangu, kijiji cha Old Moshi Kidia. Leo wameenda na magari mawili, yenye namba za usajili.

Wamemuweka mama yangu mzazi(70) chini ya ulinzi na wamemnyang'anya simu. Majirani walioenda kushuhudia, nao wamewekwa chini ya ulinzi!

Tumewasiliana na Mwenyekiti wa Kijiji ili aende kujua nini kinaendelea lakini naye sasa hapatikani (bila shaka nae kawekwa chini ya ulinzi). Mpaka sasa hatujui nini kinaendelea.

Nalaani vikali tukio hili la kinyama. Ikiwa Polisi wananitafuta mimi, zipo njia nyingi wanaweza kutumia zilizowekwa kwa mujibu wa Sheria za Nchi kuliko kuwaghasi wazazi wangu ambao ni wazee. Huu ni unyama na haukubaliki

Tukio hili limetokea leo baada ya jana kutoa taarifa ya watu wasiojulikana (ambao hawakujitambulisha wala kuwa na magari yenye namba) kuvamia nyumbani usiku wa manane na kukata umeme.

Marafiki zetu ambao ni mawakili waliopo Moshi wanaelekea kijijini kutoa msaada wa kisheria. Naomba watu wa Old Moshi Kidia muende kwa wingi hapo nyumbani kujua kinachoendelea.

Uovu huu usikaliwe kimya!
IMG-20251220-WA0055.jpg
 
Sema kuna kitu Malisa hajasema. Kwanini Polisi waende kwao na kuleta huo usumbufu? Ninaona kama vile Malisa ana kesi inayomhusu hivyo kaamua kuwatoroka Polisi. Pia baba yake Malisa ni inspekta wa polisi mstaafu. Malisa aweke kila kitu wazi.
Kama hukubaliani na alichokisema basi wewe utakuwa unaufahamu ukweli. Tupe huo ukweli wako.
 
We jamaa uko damaged beyond repair.

Kwahiyo hakuna majirani au ndugu wenye simu wanao weza kuwasiliana naye.

Huko polisi mnataka mkamteke mmpooteze mana hizi kazi za kuteka na kupoteza watu ni inside job ya wahuni na policcm.
Sasa kwanini asiende polisi? Acheni kulia lia kama kengele
 
Ndugu zangu, Muda huu (mchana wa leo Disemba 20, 2025) askari wenye silaha wapo nyumbani kwa wazee wangu, kijiji cha Old Moshi Kidia. Leo wameenda na magari mawili, yenye namba za usajili.

Wamemuweka mama yangu mzazi(70) chini ya ulinzi na wamemnyang'anya simu. Majirani walioenda kushuhudia, nao wamewekwa chini ya ulinzi!

Tumewasiliana na Mwenyekiti wa Kijiji ili aende kujua nini kinaendelea lakini naye sasa hapatikani (bila shaka nae kawekwa chini ya ulinzi). Mpaka sasa hatujui nini kinaendelea.

Nalaani vikali tukio hili la kinyama. Ikiwa Polisi wananitafuta mimi, zipo njia nyingi wanaweza kutumia zilizowekwa kwa mujibu wa Sheria za Nchi kuliko kuwaghasi wazazi wangu ambao ni wazee. Huu ni unyama na haukubaliki

Tukio hili limetokea leo baada ya jana kutoa taarifa ya watu wasiojulikana (ambao hawakujitambulisha wala kuwa na magari yenye namba) kuvamia nyumbani usiku wa manane na kukata umeme.

Marafiki zetu ambao ni mawakili waliopo Moshi wanaelekea kijijini kutoa msaada wa kisheria. Naomba watu wa Old Moshi Kidia muende kwa wingi hapo nyumbani kujua kinachoendelea.

Uovu huu usikaliwe kimya!
Huyu Bi.Mkubwa nchi imemshinda.

Huyu ndio mtawala uwezo wake ni mdogo hata ubalozi wa nyumba kumi hauwezi.

Useless kabisa.

Kutishia, kuteka na kupoteza raia hakufanyi apendwe washauri mpeni ushauri mzuri
 
Lucas usiwe mjinga wa kiwango hiki.

Unachokifanya hata hao walioenda hapo kwa Kina Malisa, waliowatuma wote wanakuona hamnazo.

Wewe unafikiri wao watakuona wa maana? Wenzako wapo kazini, wewe? Wenzako wameagizwa, wewe?

Kama huwezi kutetea wanaoonewa kaa kimya. Kwa sababu muoneaji anajua anachokifanya. Wewe unayeshabikia uonevu unafikiri hata hao waonevu wanakuona upo upande wao?
Wanakuona Snitch. Coward.

Watu kama nyie mtu haitaji kulipwa kuwafanyia ubaya.

Usipende kushabikia michezo ya kihuni wakati wewe sio mshiriki.
Hautakuwa upande wowote ule.
Sio wa muoneaji wala muonewa.
Embu acheni ujinga wenu hapa nyie. Kwanini hamtaki aende polisi kuripoti?
 
Acha uzushi wako hapa wewe. Nani kakupa taarifa kuwa wapo chini ya ulinzi ilihali unasema hawana simu kwa kuwa wamenyang'anywa.

Sasa kama unajua unatafutwa na hutaki usumbufu kwa wazazi wako. Kwanini usiende kujisalimisha kituo cha polisi.

Nenda polisi ukatoe maelezo unayotoa hapa na siyo kuja kulialia hapa na kuichafua serikali yetu.
Kuna watu wanadhani wewe ni msukule na mara zote ninapowaambia kuwa wewe ni msomi wa ngazi ya chuo kikuu tena Mwalimu wananikatalia.
 
Wewe ni mpbavu kweli. Anayetakiwa kusema hayo ni Malisa au polisi? Wazazi wake wana uhusiano gani ma kesi hiyo, Kama itKuwepo unavodai?
Matusi sio jambo jema ndugu. Ni uk♡ma kumtukana mtu badala ya kujibu hoja.
 
Gentleman,
there is no rooms for criminals ni TZ, but also there is completely no escape roots for terrorists and mercenaries.

And be informed that,
hakuna kuona huruma, hakuna kuona haya wala kuona aibu kumshughulikia haramia au gaidi anaeharibu miundombinu ya umma au binafsi ya waTanzania. Toa ushirikianao kwa vyombo vya ulinzi na usalama ikiwa ni raia mwema :MODS:
Kwenu nyinyi mtu ambaye sio CCM au anaepinga siasa za malkia wenu ni haramia. Mtalipwa na Mungu.
 
Lucas usiwe mjinga wa kiwango hiki.

Unachokifanya hata hao walioenda hapo kwa Kina Malisa, waliowatuma wote wanakuona hamnazo.

Wewe unafikiri wao watakuona wa maana? Wenzako wapo kazini, wewe? Wenzako wameagizwa, wewe?

Kama huwezi kutetea wanaoonewa kaa kimya. Kwa sababu muoneaji anajua anachokifanya. Wewe unayeshabikia uonevu unafikiri hata hao waonevu wanakuona upo upande wao?
Wanakuona Snitch. Coward.

Watu kama nyie mtu haitaji kulipwa kuwafanyia ubaya.

Usipende kushabikia michezo ya kihuni wakati wewe sio mshiriki.
Hautakuwa upande wowote ule.
Sio wa muoneaji wala muonewa.
"Usipende kushabikia michezo ya kihuni wakati wewe sio mshiriki.
Hautakuwa upande wowote ule.
Sio wa muoneaji wala muonewa."

Nitaishi na hii.
 
Acha uzushi wako hapa wewe. Nani kakupa taarifa kuwa wapo chini ya ulinzi ilihali unasema hawana simu kwa kuwa wamenyang'anywa.

Sasa kama unajua unatafutwa na hutaki usumbufu kwa wazazi wako. Kwanini usiende kujisalimisha kituo cha polisi.

Nenda polisi ukatoe maelezo unayotoa hapa na siyo kuja kulialia hapa na kuichafua serikali yetu.
Wewe kuna siku utakuja katwa kichwa hadharani mark my words.
 
Back
Top Bottom