Malizia hii wikiendi kwa kuendelea kukataa pombe na ulevi. Jilinde dhidi ya kufirisika, magonjwa, talaka, kudumaa na kufanya vituko ukiwa umelewa

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
2,404
Reaction score
5,682
grok_1785651317683.jpg

Marafiki wakikuita velvet waambie upo na famila beach kwa zena

Marafiki wakikuuta kitambaa cheupe waambie upo plaza unacheki movie na wadogo zako.

Malaya zako wakikuita zile pubs za tabata, waambie wiki hii una marejesho

Washkaji wakisema wanakulipia bill kwa leo, waambie unaumwa na hauwezi toka leo.

#PIGA_CHINI_POMBE
 
View attachment 3641727

Piga chini Pombe,nipe sababu!
 
Kuna company imefunguliwa ya kurudisha walevi salama nyumbani inafanya kazi vizuri so hakuna wasiwasi.
Gharama zao ni nafuu na huduma yao ni nzuri na haraka
 
Hilo Tangazo nililiona.
Na nika weka emoji ya Fire kabisa.
Nina uhakika nilikuwa niko sober.

Hapa nina Kili zangu kadhaa kichwan. Ila
Marafiki wakikuita velvet waambie upo na famila beach kwa zena

Marafiki wakikuuta kitambaa cheupe waambie upo plaza unacheki movie na wadogo zako.

Malaya zako wakikuita zile pubs za tabata, waambie wiki hii una marejesho

Washkaji wakisema wanakulipia bill kwa leo, waambie unaumwa na hauwezi toka leo.

Hizi sababu zote juu sio ndio zilizonileta Bar.
Dah!
 
niliona bro lakin since jmosi hadi leo niko konyagi ya 16 na kilimanjaro kadhaa ndio maana sikutaka kuingilia jukwaa. Mimi kusema ukweli bado sana.
Duh¡ one day yes... mda utafika tu¡ utaacha
 
Bro acha kujidanganya na cjui mishahara toka mbinguni. Utasubisi sana kiongozi ila sikuambii uache neno bt kuwa na maisha yako nje na kanisa. Naheshmu imani ya kila mtu kasoro za uchawi tu.
 
Asante¡ mkuu tuna uhuru wa kuchagua... Kwa ushauri tu kama umeamua kuishi maisha ya bata kama huamini usije ukajuta kumkuta SIR amechili halafu na konyagi ulikuwa unazihurumia...
 
Back
Top Bottom