Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 2,404
- 5,682
Piga chini Pombe,nipe sababu!View attachment 3641727
Marafiki wakikuita velvet waambie upo na famila beach kwa zena
Marafiki wakikuuta kitambaa cheupe waambie upo plaza unacheki movie na wadogo zako.
Malaya zako wakikuita zile pubs za tabata, waambie wiki hii una marejesho
Washkaji wakisema wanakulipia bill kwa leo, waambie unaumwa na hauwezi toka leo.
#PIGA_CHINI_POMBE

niliona bro lakin since jmosi hadi leo niko konyagi ya 16 na kilimanjaro kadhaa ndio maana sikutaka kuingilia jukwaa. Mimi kusema ukweli bado sana.Mopak njoo huku kaka, kuna kitu kimetokea¡
Duh¡ one day yes... mda utafika tu¡ utaachaniliona bro lakin since jmosi hadi leo niko konyagi ya 16 na kilimanjaro kadhaa ndio maana sikutaka kuingilia jukwaa. Mimi kusema ukweli bado sana.
usijali bro ila sio kwa mahubiri haya ya kibongo.Duh¡ one day yes... mda utafika tu¡ utaacha
Hahahahaaa unataka mahubiri ya wap?usijali bro ila sio kwa mahubiri haya ya kibongo.
labda ya sir mwenyeweHahahahaaa unataka mahubiri ya wap?
Akija anakuja na mishahara kabisa kumlipa kila mtu kwa kazi yake, hatakuwa na mda wa kuhubiri tena na hana rehema tena¡labda ya sir mwenyewe
Asante¡ mkuu tuna uhuru wa kuchagua... Kwa ushauri tu kama umeamua kuishi maisha ya bata kama huamini usije ukajuta kumkuta SIR amechili halafu na konyagi ulikuwa unazihurumia...Bro acha kujidanganya na cjui mishahara toka mbinguni. Utasubisi sana kiongozi ila sikuambii uache neno bt kuwa na maisha yako nje na kanisa. Naheshmu imani ya kila mtu kasoro za uchawi tu.