Malkia Elizabeth kalala kuzimu. Je, karma itachukua mkondo wake?

Malkia Elizabeth kalala kuzimu. Je, karma itachukua mkondo wake?

Hii ni kweli, ila siri hii wanaijua wajanja wachache
Kuna kitu umejifunza hapa!, short and clear karma ni matendo ovu tunayofafanyia wengine Kwa lugha ingine madhambi tunayofanyanyia wengine. Huu ni mfumo wa nature,tuweke dini pembeni,although upo uwezekano watu wadini wali peak hili wao wakaita dhambi.ndio maana kutubu pekee huwa hakutoshi ni lazima utoe na sadaka.
 
Sahihi kabisa.. Sadaka ni kama fidia
 
Katika ibada ya mazishi ya marehemu Malkia Elizabeth, kuelekea mwisho wa ibada, niliguswa na maneno ya mwisho ya Askofu Mkuu kabla ya mwili kupelekwa kaburini kwa maziko. Alisema: "Sasa tuondoe alama zote za nguvu kutoka kwenye jeneza, ili dada yetu, Elizabeth aweze kuwekwa kaburini kama Mkristo wa kawaida ".
Mara moja, wafanyakazi wa ofisi waliondolewa, kisha fimbo, taji ikafuata na vitu vyote vya thamani viliondolewa. Malkia alizikwa HAKUNA KITU. Ona kwamba Askofu Mkuu hakujumuisha "Malkia" kwa jina lake wakati huu pia.
Hakika maisha ni ubatili. Ni ya muda mfupi, na hiyo inatufundisha unyenyekevu. Unyenyekevu katika uwezo, unyenyekevu katika uhusiano na wengine, unyenyekevu katika upatikanaji wetu wa mali, na unyenyekevu katika juhudi zetu zote, kwa sababu mwishowe, sote tutarudi mavumbini bila KITU. Wacha Izame!
 
Back
Top Bottom