Malkia Elizabeth kalala kuzimu. Je, karma itachukua mkondo wake?

Unaweza ukaelezea hili swala mkuu kwa upana

Sent from my LM-V500N using JamiiForums mobile app
 
Familia haikumkataa Diana. Charles haluwahi kumpenda Diana. Alimuoa Diana maana alikua na damu ambayo ingemuwezesha kupata uzao. Hizo nyingine ni ngonjera tu. Charles alimpenda Camilla toka wanaonana. Diana alienda ile hali ya kuwa Princess na hakufikiri kuwa Charle hampendi hata tone. Alivyopata watoto akafikiri mumewe atampenda lakini haikua hivyo. Akaanza kuchepuka kama mumewe. Kosa la Malkia ni kumnyanganya ulinzi mara baada ya kuachana na Charles. Asingemuondolea ulinzi maybe Diana angekua hai mpaka leo. Halafu pia ukiolewa kwenye ile familia jitahidi usiwe maarufu kuliko aliyekuoa. She was more popular than Queen herself or the Heir to the throne himself. All in all fate did wanted Camilla to be Queen Consort but not the royal blood to flow through her.
Kweli kabisa mkuu Di alikuwa anapenda sana attention kila wakati
Mwanzo alikuwa mtu simple sana hata pale Kensington alikuwa anawachukua kina Will na kuwapeleka McDonald's bila ulinzi mkubwa alikuwa anataka aishi maisha ya kawaida sana ingawa haruhusiwi kuwa hivyo

Baada ya hapo ndio akawa na Charities na kuanza kupenda Camera kila anapoenda kama boss wetu aliepita

Hilo halikutosha akaanza kutembea na watu tofauti tofauti kwa mida tofauti

Yaani kila anaemuhadithia akimwambia lean on my shoulder anakula mzigo
Nilimpenda sana ila sikuwa kwenye nafasi na mimi ningepata
Yule Hewitt alikuwa anamfundisha farasi akamlilia shida zake akala
Akaja Dr Mpakistan akala
Akaingia yule Millionaire Mmarekani wa mafuta akabeba nae
Akaja kumalizia Dodi
 
Nilimpenda sana ila sikuwa kwenye nafasi na mimi ningepata[emoji23] dah ulikosa bahati kubwa

Sent from my LM-V500N using JamiiForums mobile app
 
Kweli kabisa mkuu Di alikuwa anapenda sana attention kila wakati
Mwanzo alikuwa mtu simple sana hata pale Kensington alikuwa anawachukua kina Will na kuwapeleka McDonald's bila ulinzi mkubwa alikuwa anataka aishi maisha ya kawaida sana ingawa haruhusiwi kuwa hivyo

Baada ya hapo ndio akawa na Charities na kuanza kupenda Camera kila anapoenda kama boss wetu aliepita

Hilo halikutosha akaanza kutembea na watu tofauti tofauti kwa mida tofauti

Yaani kila anaemuhadithia akimwambia lean on my shoulder anakula mzigo
Nilimpenda sana ila sikuwa kwenye nafasi na mimi ningepata
Yule Hewitt alikuwa anamfundisha farasi akamlilia shida zake akala
Akaja Dr Mpakistan akala
Akaingia yule Millionaire Mmarekani wa mafuta akabeba nae
Akaja kumalizia Dodi
Somehow she created that. She married a person who had dated her sister while knowing he doesn’t love her a bit. She craved for love from someone who would never have an eye for her. She was little naive to think love will come along the way. HM Elizabeth II and Prince Philip were able to endure it when Philip was a bit hectic because they loved themselves before getting married. Love will carry you when all is lost. Even when tired love will push you to go an extra mile and remain in the marriage. Diana and Charles lacked that
 
Mshana haya ni maoni yako na mtazamo wako Kwa kuwa upo huru kuongea kile kilichojaa moyoni mwako sipingani nawe. Kuna Mahali umesema hapo juu Kwamba British monarchy ilimuondoa Diana kwenye Ile ajali iliyotokea huko ufaransa 1997. Je ni nadharia gani unaweza kuzielezea hapa Kwamba Kwa kiasi Fulani British monarchy ilimuondoa Diana
 
Alikuwa ni mtumishi wa ngazi ya juu wa shetani akiwa na degree 33 za uchawi. Akivaa mavazi yenye nembo na mapambano ya kichawi vikiwemo crown, pete, ring, mikufu, vyeo. Huyu akutubu kabla ya kifo hawa uamini kwao shetani ni Mungu.
Hizi muda mwingine zinaweza zikawa story za vijiweni
 
Mshana haya ni maoni yako na mtazamo wako Kwa kuwa upo huru kuongea kile kilichojaa moyoni mwako sipingani nawe. Kuna Mahali umesema hapo juu Kwamba British monarchy ilimuondoa Diana kwenye Ile ajali iliyotokea huko ufaransa 1997. Je ni nadharia gani unaweza kuzielezea hapa Kwamba Kwa kiasi Fulani British monarchy ilimuondoa Diana
Nimeinakili toka makala nyingine nitatafuta link yake

Sent from my LM-V500N using JamiiForums mobile app
 
pia lazima nikubali madhaifu yangu, maama mimi nami...!, inawezekana ni karma ya matendo yangu ya nyuma pia imechangia, its good nimejitambua, not to accumuletes more negative karma, maana hata kwenye yale mambo yetu yale... idadi ya nilio ... kwa ahadi ya ... imepita triple digits!, hivyo you can imagine!.[emoji23]
I can imagine 3000+ nakukumbuka sana mitaa ya Sinza Maeda bar n so on... But brother on serious case have change of scene [emoji2827]! Hii neutralism iache sasa.. It has brought to you more harms than 'goods' (if I can put it in that way)
Neutralism, pasikali hawezi kuiacha labda aache kua msaka huruma za watawala[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].kumbe baada ya jimbo la kawe aliibukia Africa mashariki!!!
 
Alikuwa ni mtumishi wa ngazi ya juu wa shetani akiwa na degree 33 za uchawi. Akivaa mavazi yenye nembo na mapambano ya kichawi vikiwemo crown, pete, ring, mikufu, vyeo. Huyu akutubu kabla ya kifo hawa uamini kwao shetani ni Mungu.
Wasabato kumekucha
 
Makasiriko ya ugumu wa maisha mpaka unampangia Mungu pa kumuweka mtu kweli. Na wewe pambana ukaitawale Uingereza nani alikunyima........
 
Hapa JF tuna makundi mawili
1. Great thinkers
2. Great sinkers
Mada zetu na michango yetu kwenye mada za wengine ndio hututambulisha ni kundi gani tumo na mwisho wa siku faida ya kutumia utambulisho bandia unakuwa hauna faida tena kama ukiangukia kwenye kundi la pili

Sent from my LM-V500N using JamiiForums mobile app
 
Neutralism, pasikali hawezi kuiacha labda aache kua msaka huruma za watawala[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].kumbe baada ya jimbo la kawe aliibukia Africa mashariki!!!
Sina hakika sana lakini nadhani kuna kitu kibaya kilimpata P na si kitu cha kuombea wengine wakipate ama kiwapate_! Sina hakika lakini..[emoji2827]

Back
Top Bottom