Kalunya
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 13,322
- 18,609
Kufa kwa haki sio kufa kwa hatiaKila anaekufa aliwahi kuuwa...?
Kumbe mimi siwezi kufa kwasababu sijawahi kuuwa...?
Chukua hii....
Kila binadamu atakufa tu... Kifo sio Karma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufa kwa haki sio kufa kwa hatiaKila anaekufa aliwahi kuuwa...?
Kumbe mimi siwezi kufa kwasababu sijawahi kuuwa...?
Chukua hii....
Kila binadamu atakufa tu... Kifo sio Karma.
Nature death ni kifo chema kifo cha utulivu na kifo cha laaana ni kifo cha hatiaUnajuaje?. Vipi kuhusu Ben wetu?. Kwa vile mwisho wa siku wote lazima tuu tutakufa siku yetu ikifika, unawezaje kutofaitisha kifo cha laana ya karma na natural death?.
P
Ikithibitika nimepotoka nitaomba radhi Songambele [emoji1545]Mshana kwa hili la India kama utakuwa ndio umempa pepo zaidi sababu India imepata uhuru 1950 na Malikia ametawazwa kuwa malkia 1952 manake hana baya na India
Point huyu Mama ndio kafanya mabadiliko makubwa kutoka ukoroni na enzi zake ndio uhuru umepatikana, wangerithi wahafidhina kaka mpaka leo tungekuwa utumwani.Ikithibitika nimepotoka nitaomba radhi Songambele [emoji1545]
Ikithibitika nimepotoka nitaomba radhi Songambele [emoji1545]
| Reign | 6 February 1952 – 8 September 2022 |
|---|---|
| Coronation | 2 June 1953 |
| Predecessor | George VI |
| Successor | Charles III |
Nimekupata vema sasaRepublic Day is a public holiday in India, when the country marks and celebrates the date on which the Constitution of India came into effect on 26 January 1950, replacing the Government of India Act 1935 as the governing document of India and thus, turning the nation into a newly formed republic. The day also marks the transition of India from an autonomous Commonwealth realm with British Monarch as nominal head of the Indian Dominion, to a fully sovereign republic in the Commonwealth of Nations with the President of India as the nominal head of the Indian Union.
View attachment 2354514
Reign 6 February 1952 – 8 September 2022 Coronation 2 June 1953 Predecessor George VI Successor Charles III
Kwahiyo haya makanisa ya anglicana tunayoyaona waumini wake ni mashoga ok nilikua sijuiHawaji wanajua. Church of england ambae malkia ndie mkuu wao ni Kanisa la mashoga
Huu ni uonevu mkubwa sana ,kama ndio Mungu yuko hivyo anatakua na ukatili wa kipumbavu ,yani umuumize mtoto mdogo kisa babu yake wa 4 huko alifanya kosaRefer karma kwenye Bible ... Nami nawapatiza wana maovu ya baba zao wa kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukizao
Alifanyaje mkuu ,nimeona umemlundikia lawama lukuki lakini hujataja hata jambo moja alilofanyaDiana kuchafuka anaweza akawa hachafuki kwenye macho ya walimwengu lakini ukweli unabaki kua tofauti kwenye Royal Family kwa required standards of decence, maana maadili yake hayakuendana kabisa na viwango vya familia ya kifalme.
Diana alikua muhuni tu ambaye hakuna familia yoyote ya kifalme chini ya jua ingeweza kumvumila. Her attitude and behaviour were matters of state as per required standards. Hakujua namna ya kuishi kwenye familia kubwa kama ile, akawa mtu wa skendo na na tabia kama za wacheza movie wa Hollywood na Bongo. MI6 & MI5 wasingeweza kumuacha salama, achilia mbali malkia mwenyewe.
And it was resonable Diana wasn't raised to be a Princess pamoja na kwamba alikua anatokea familia nzuri iliyowatoa watu kama akina Winston Churchil lakin bado hakuwa na malezi na maadili yaliyofaa kuwa mke kwenye the most prominent family in UK.
She was just 21 when she got married to a 33 year old Charles, now given the time context and globalization iliyokua inakua kwa kasi na the fact kuwa hakuwa exposed to such life before, aliishia kukengeuka na pesa zisizo na budget za Royal family akaishia kuwa na drama over drama kama Angelina Jolie na the Kardashians. Simply put ni kama mabinti wengi wanavokengeuka wakipata boom la chuo wanajiona wao ndo wao na huwezi waambia chochote.
HapanaKwahiyo haya makanisa ya anglicana tunayoyaona waumini wake ni mashoga ok nilikua sijui
Hapana nadhani kuna kitu hujakielewa kuna heredity issues hapo, DNA kizalia nkHuu ni uonevu mkubwa sana ,kama ndio Mungu yuko hivyo anatakua na ukatili wa kipumbavu ,yani umuumize mtoto mdogo kisa babu yake wa 4 huko alifanya kosa
mie nilitaka urekebishe pale kuhusu India lakini utajiri wake si kweli kama umetoka Afrika, ukumbuke India, Ulaya na Amerika pia kuna madini kwa hiyo vito wenzetu waligundua miaka mingi saana kabla ya kuja Afrika. Ni kweli wanamapungufu yao lakini tusiwasingizie yale yasiyo ya kwao. Ukiangalia budget ya Tanzania kipindi kile 60% inatoka ulaya mwingereza ndiye aliyechangia kwa kiasi kikubwa kuliko nchi yeyote. Angalia biashara kabla enzi za Magu tulifanya biashara zaidi na uingereza kuliko yeyote.Wakuu Kamanda Moshi na Songambele nimerudi tena baada ya kusoma michango yenu na kutoka vyanzo vingine vya habari... Kuna mijadala mingi huko kwingine ama ya kumtetea ama kumhusisha malkia Elizabeth na biashara ya utumwa na udhalimu mwingine uliotendwa na taifa lake
Niliahidi kuomba radhi kama ikithibitika nimepotoka,,, sasa kwa sehemu naomba radhi na si kwa ujumla wake kwakuwa nilichokuja kuona ni kwamba pamoja na jitihada zake za kukomesha biashara ya utumwa lakini kuna mengi alishindwa kuyapigania pengine Kutokana na nafasi yake
1. Alishindwa kukataa kuvaa kofia ya kimalkia inayotuhumiwa kutengenezwa na vipande vya madini mbalimbali yaliyoporwa toka Afrika.. Na hapa isingewezekana akatae
2. Maisha ya pepo/bata ndani ya kasri la kifalme/kimalkia pamoja na ukwasi mkubwa waliokuwa nao kwa sehemu kubwa havitokani na jitihada binafsi nchini mwao bali kutokana na uporaji mkubwa ulliofanywa Afrika kipindi chote kabla na baada ya yeye kuwa malkia
3. Kuna udhalimu ndani ya 'royal family' lazima ufanyike ili kuilinda damu na kizazi chao na hili halikwepeki popote duniani na pengine kwa yoyote ule.. Kwenye hili tuhuma ni nyingi pia
4. Inawezekana kabisa nia yake ilikuwa thabiti lakini uwezo wa kutoa maamuzi alikuwa hana, hivyo kujikuta anakuwa sehemu ya kila baya taifa lake lililotuhumiwa kwalo
Naomba radhi bila masharti yoyote Songambele nadhani hii sasa nitakuwa nimetimiza ahadi .. Zaidi tuendelee kuchimbua ukweli na uongo kwenye sakata zima la malkia mwendazakemie nilitaka urekebishe pale kuhusu India lakini utajiri wake si kweli kama umetoka Afrika, ukumbuke India, Ulaya na Amerika pia kuna madini kwa hiyo vito wenzetu waligundua miaka mingi saana kabla ya kuja Afrika. Ni kweli wanamapungufu yao lakini tusiwasingizie yale yasiyo ya kwao. Ukiangalia budget ya Tanzania kipindi kile 60% inatoka ulaya mwingereza ndiye aliyechangia kwa kiasi kikubwa kuliko nchi yeyote. Angalia biashara kabla enzi za Magu tulifanya biashara zaidi na uingereza kuliko yeyote.
Mshana kwanza mkubwa timiza ahadi yako ya kuomba radhi bila masharti yeyote na kutengeneza shutuma mpya. Ufalme karne iliyopita ulikuwa balaa lakini huyu mama kautia greece mno na tumeishi nao, kwa muda wake wafalme woote wanabadilika sasa, India kulikuwa na falme kibao waingereza walifuta zote na kusimamisha taarifa zao.
Changamoto za kibinadamu hawawezi kosa bhana.
Nitakutafuta Ibungu weekend kwa mupe murukeNaomba radhi bila masharti yoyote Songambele nadhani hii sasa nitakuwa nimetimiza ahadi .. Zaidi tuendelee kuchimbua ukweli na uongo kwenye sakata zima la malkia mwendazake
Mkuu kuna moja inaitwa Kohinoor ilichimbwa India na akapewa MalkiaIle kofia yake ina madini yenye thamani ya Tsh billion moja na yaliporwa South Africa
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mkuu kuna moja inaitwa Kohinoor ilichimbwa India na akapewa Malkia
Na ndio iko kwenye kofia moja ya Malikia na ni kubwa sana
Hebu isome kidogo hiyo View attachment 2355909View attachment 2355910