Malkia Elizabeth kalala kuzimu. Je, karma itachukua mkondo wake?

Malkia Elizabeth kalala kuzimu. Je, karma itachukua mkondo wake?

Imani ya kwamba kuna mbinguni au motoni walituletea wao kusema amekwenda motoni au yupo wapi ni ngumu sana,bora nikae kimya ,and no hell hell is propaganda,we are in hell right now!
Ukisoma Egyptian book of the dead wameelezea vizuri hili jambo, kwa imani yao haya maisha tunayoishi sasa ndo jehanam yenyewe(underworld, )maana roho yako inakua imelimitiwa na hii hali ya ubinadam ila roho ikitoka kwenye huu mwili inarudi kwenye hali yake(nguvu) ya asili
 
Kutoa sadaka
kutoa zaka
kusaidia mayatima
kusaidia wajane
KUNAPUNGUZA NGUVU YA KARMA KUKUPIGA KWA NGUVU.
Naunga mkono hoja, hii inaitwa "reversing the bad karma impact". Kama umetenda maovu fulani, mfano kuua mtu, malipo ya karma yako ni na wewe utauliwa, ila ukijitambua kuwa umefanya kosa, ukajuta, ukatenda wema mara dufu kufidia ule ubaya, ile karma ya uovu wa kuua mtu inafutika!. Hili nimelieleza vizuri tuu hapa "The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa Duniani!, Unahukumiwa kwa Matendo Yako! na hata yule Blaza wangu, kutokana na hisia kuwa hakuwa mtu mwema kivile, hivyo karma ndio ikamchomoa, baadhi ya watu wakidhani amekwenda kufanywa kuwa kuni!. Bahati nzuri mimi nilielezwa mahali alipo na nikaeleza humu Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani ila bado kuna watu hawaamini!.

Hata mimi mwenyewe na lile jambo langu, usikute pia kuna mkono wa karma ya matendo yangu kama nilivyoeleza hapa A shock of my life, furaha yageuka shubiri. Be good to people on your way up, you might meet them on your way down, mwenzenu leo yamenikuta!
Karma is real!, and is a bitch!.
P
 
Nilikadiria chini sana

Moja ya vipande vilivyotazamwa sana katika Vito vya Taji ni Crown ya St. Edward, ambayo ina mawe 444, ya thamani na ya nusu ya thamani. Takriban pauni tano za dhahabu zilizotumika kujenga taji hilo leo zina thamani ya zaidi ya $100,000, huku mkusanyiko wa mawe katika madini hayo ya thamani ukiweka thamani ya taji hili karibu dola milioni 39.View attachment 2354066
Nafikiri sasa Yupo kuzimu(kama kupo) na hivyo basi utajiri wao utakuja julikana-unajulikana bila ya uwazi-kwa Uwazi.
...kwani tetesi nyingi sasa ni mambo mengi ya Utawala wake yatawekwa hadharani.
 
Mnavyozungumza Karma inabidi mtutoe tongotongo...anayetengeneza dawa za kutoa mimba na mtu anayetumia hizo dawa kutoa mimba karma inaenda kumtafuna nani?
Ndio ile stori ya Mikhail Kalashnikov na AK47 yake iliyotumika kuua milions of innocent people
 
Mnavyozungumza Karma inabidi mtutoe tongotongo...anayetengeneza dawa za kutoa mimba na mtu anayetumia hizo dawa kutoa mimba karma inaenda kumtafuna nani?
Ndio ile stori ya Mikhail Kalashnikov na AK47 yake iliyotumika kuua milions of innocent people
Mtengenezaji na mtumuaji wote kila mmoja kwa kipimo chake atapata karma yake
 
Mkuu, naomba kufundishwa tena historia…… hivi Elizabeth alikuwa malkia mwaka gani tena vile? Kama nakumbuka vizuri it was 1952 February…..
Sasa mkuu utumwa pia uliondolewa (abolishment of slavery business) mwaka 1807 tena na serikali yao ya Uingereza, kwa hiyo sielewi kabisa yeye anapolaumiwa kwa utumwa something hakufanya na she was not even born by then!
Pia kumbuka she’s just a ceremonial heard of state, mwenye maamuzi muhimu pale UK ni prime minister na cabinet yake.
Hata Lancaster House Agreement haikuwa signed kati ya Abel na Malkia…
So sielewi yeye alipromote vip utumwa….please help me kwenye hilo mkuu
Nipe muda nitakurudia nisijibu kwa kukurupuka
 
Mkuu Mshana Jr, kwanza asante sana kwa faraja yako.

Pili karma sio imani ya kipagani, ni imani ya dini za Hindu na Budhisim, nakuomba wasio Wakristu na Waislamu tusiwaite wapagani!.

Nikitulia nitapandisha bandiko la shukrani kwa walioniaminia na kunisupport, ila chama changu CCM kimefanya uamuzi wa haki kabisa, kwa hao walioteuliwa CCM, mimi wamenizidi sana kwa sifa na vigezo!.

Ila pia lazima nikubali madhaifu yangu, maama mimi nami...!, inawezekana ni karma ya matendo yangu ya nyuma pia imechangia, its good nimejitambua, not to accumuletes more negative karma, maana hata kwenye yale mambo yetu yale... idadi ya nilio ... kwa ahadi ya ... imepita triple digits!, hivyo you can imagine!.

Kwa mzalendo wa kweli wa nchi yake, kutokuteuliwa kugombea nafasi fulani hakukufanyi ushindwe kuitumikia nchi yako, mimi bado ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea nikiendelea kuandika na kutangaza, pia ni wakili wa kujitegemea kwa kujitolea kutetea bure masikini na wasio na uwezo wa kuweka wakili.
RIP Queen Liz.
P.
Mwenyez asikuache.upo good sana mkuu
 
Laana zipo za aina nyingi laana ya karma ni malipo ya matendo yako mabaya uliyowatendea nyuma. Mfano aliyemuua azory nae kafa, aliyemuua bob marley nae kafa, aliyemuua Tsvangirai nae kafa, Aliyemuua Ouko nae kafa, aliyemuua Mashood Abiola nae kafa, aliyemuua Lumumba nae kafa. SAsa kuua mtu kuna faida gani hali nawe utakufa, then mnaenda kutana huko.
Mtu yeyeto mwenye akili timamu hawezi ua mtu.
Kila anaekufa aliwahi kuuwa...?

Kumbe mimi siwezi kufa kwasababu sijawahi kuuwa...?

Chukua hii....

Kila binadamu atakufa tu... Kifo sio Karma.
 
UNAONGEA KIRAHISI TU ATI HAKUNA INCARNATION?

THIBITISHA. ACHA UJUAJI NA KIMBELEMBELE.

VIZUNGU VIIINGIIII UJINGA MTUPU
We unaweza kuthibitisha?unathibitishaje kuwa mtu alishaishi before akazaliwa tena?acha kudhalilisha ukoo wako bro......mwenyewe umeona umeongea vitu smart kinoma kumbe upuuzi tu.Haya thibitisha tuone.
 
Mshana jr, umeongea kitu hapo.

Pamoja na utumwa huyu mama Marehemu Malkia alikuwa mtu mwenye roho yake,

Pamoja na kitendo alichomfanyia mkwewe Diana cha kumkataa na kumwambia mwanae amchukue Camilla na Diana awemo tu humo kwenye casri ila asiwe mke wa mwanaye hakikutosha, akamkataa kabisa yule mjukuu yaani mtoto wa Diana.

Vikapimwa vinasaba hata ikajulikana baba wa mtoto nahisi ni baada ya Diana kufa

Wakamtupa jeshini.

Kaoa m marekani mweusi, unaambiwa hilo kasri lina mashangingi ya kizungu yamejaa yakawa yanam disi , kijana kufikia kuhama kwenye kasiri

Ila walikuja kuongea na bibi huku mwishoni.

Huwa nafuatilia hii familia kwa ajili nilim like sana Diana.

All in all marehemu alikuwa katili fulani hivi
duh! watu mna siri nyinyi....ina maana prince harry sio mtoto wa damu wa king charles III?!!

nime-google mda huu nikakuta kumbe ni mjadala mkubwa kwenye ulimwengu wa mitandao.
 
duh! watu mna siri nyinyi....ina maana prince harry sio mtoto wa damu wa king charles III?!!

nime-google mda huu nikakuta kumbe ni mjadala mkubwa kwenye ulimwengu wa mitandao.
Binadamu kusema ni kawaida..,Harry ukimtizama vizuri ndio mule mule na baba yake Charles...

Tena Ni mjukuu kipenzi kwa Bibi yake..

Diana hachafuki daima...
Kama sio mtoto wa kifalme mpaka leo hii sidhani Kama angekuwa hai..,Ila Kuna mtu aliwahi kuclaim kwamba Ni mtoto wa new king ..alizaa na maid wao,na anataka atambulike rasmi!

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Binadamu kusema ni kawaida..,Harry ukimtizama vizuri ndio mule mule na baba yake Charles...

Tena Ni mjukuu kipenzi kwa Bibi yake..

Diana hachafuki daima...
Kama sio mtoto wa kifalme mpaka leo hii sidhani Kama angekuwa hai..,Ila Kuna mtu aliwahi kuclaim kwamba Ni mtoto wa new king ..alizaa na maid wao,na anataka atambulike rasmi!

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
Diana kuchafuka anaweza akawa hachafuki kwenye macho ya walimwengu lakini ukweli unabaki kua tofauti kwenye Royal Family kwa required standards of decence, maana maadili yake hayakuendana kabisa na viwango vya familia ya kifalme.

Diana alikua muhuni tu ambaye hakuna familia yoyote ya kifalme chini ya jua ingeweza kumvumila. Her attitude and behaviour were matters of state as per required standards. Hakujua namna ya kuishi kwenye familia kubwa kama ile, akawa mtu wa skendo na na tabia kama za wacheza movie wa Hollywood na Bongo. MI6 & MI5 wasingeweza kumuacha salama, achilia mbali malkia mwenyewe.

And it was resonable Diana wasn't raised to be a Princess pamoja na kwamba alikua anatokea familia nzuri iliyowatoa watu kama akina Winston Churchil lakin bado hakuwa na malezi na maadili yaliyofaa kuwa mke kwenye the most prominent family in UK.

She was just 21 when she got married to a 33 year old Charles, now given the time context and globalization iliyokua inakua kwa kasi na the fact kuwa hakuwa exposed to such life before, aliishia kukengeuka na pesa zisizo na budget za Royal family akaishia kuwa na drama over drama kama Angelina Jolie na the Kardashians. Simply put ni kama mabinti wengi wanavokengeuka wakipata boom la chuo wanajiona wao ndo wao na huwezi waambia chochote.
 
Back
Top Bottom