Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mkuu Mshana Jr, kwanza asante sana kwa faraja yako.Dibaji
Karma ni imani ya kilimwengu ya kipagani na waamini miungu. Lcha ya kuwa ni imani lakini pia ni kanuni yenye kuakisi uhalisia. Kwamba baya hulipwa kwa baya na jema hulipwa kwa jema.
Kiwango cha mabaya ama mema ndio kitaamua utakuwa nani maisha yako ya baadae ama yajayo! Hakuna kitu msamaha kwenye hii kanuni ya kipagani HAKUNA
Mwisho wa dibaji.
nachukua nafasi hii pia kumpa mkuu PASKALI pole nyingi kwa kutochaguliwa kwenye kinyang'anyiro cha nafasi za uwakilishi wa kibunge ndani ya bunge la Afrika mashariki. PASKALI ni muumini na mwalimu mzuri wa karma
RIP QUEEN[emoji146] ELIZABETH mbele yako nyuma yetu.![]()
Pili karma sio imani ya kipagani, ni imani ya dini za Hindu na Budhisim, nakuomba wasio Wakristu na Waislamu tusiwaite wapagani!.
Nikitulia nitapandisha bandiko la shukrani kwa walioniaminia na kunisupport, ila chama changu CCM kimefanya uamuzi wa haki kabisa, kwa hao walioteuliwa CCM, mimi wamenizidi sana kwa sifa na vigezo!.
Ila pia lazima nikubali madhaifu yangu, maama mimi nami...!, inawezekana ni karma ya matendo yangu ya nyuma pia imechangia, its good nimejitambua, not to accumuletes more negative karma, maana hata kwenye yale mambo yetu yale... idadi ya nilio ... kwa ahadi ya ... imepita triple digits!, hivyo you can imagine!.
Kwa mzalendo wa kweli wa nchi yake, kutokuteuliwa kugombea nafasi fulani hakukufanyi ushindwe kuitumikia nchi yako, mimi bado ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea nikiendelea kuandika na kutangaza, pia ni wakili wa kujitegemea kwa kujitolea kutetea bure masikini na wasio na uwezo wa kuweka wakili.
RIP Queen Liz.
P.