Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 43,242
- 60,939
Mshana jr, umeongea kitu hapo.
Pamoja na utumwa huyu mama Marehemu Malkia alikuwa mtu mwenye roho yake,
Pamoja na kitendo alichomfanyia mkwewe Diana cha kumkataa na kumwambia mwanae amchukue Camilla na Diana awemo tu humo kwenye casri ila asiwe mke wa mwanaye hakikutosha, akamkataa kabisa yule mjukuu yaani mtoto wa Diana.
Vikapimwa vinasaba hata ikajulikana baba wa mtoto nahisi ni baada ya Diana kufa
Wakamtupa jeshini.
Kaoa m marekani mweusi, unaambiwa hilo kasri lina mashangingi ya kizungu yamejaa yakawa yanam disi , kijana kufikia kuhama kwenye kasiri
Ila walikuja kuongea na bibi huku mwishoni.
Huwa nafuatilia hii familia kwa ajili nilim like sana Diana.
All in all marehemu alikuwa katili fulani hivi