Wapii hiyo ni kwemye kasha la VHS wewe .wnwtaka kutumezesha pipi kijiti nzima nzima
Acha ungese,ww na ccm ndyo mmeharib kila kituDemu wangu huyo....
Dah maisha yalikua mazuri sana miaka hiyo. sasahivi chadema wameharibu kila kitu.
Yap kulikuwa na China/chaina wawili huyu wa kizungu na yule Mchina kama sikoseiTulikuwa tunamwita China(Chaina), wahenga wenzangu nafikiri mmenisoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
The line off dutyHiyo ya juu picha ya lini?? Nategemea awe mzee sasa hivi.
Wapi Cynthia Khan ma michelle khan pia??
Nakumbuka kitu cha China O'brien, angel of fury, dah, wadada walikuwa wanatoa dozi, hapo niko kwa jirani nimeshaoga naangalia kideo kidogo kimetengenezewa kikabati chake!
Chalii wwe wa manzese au MbagalaHuyu mwanadafada wa kitambo sana. Ninazo movie zake kama 4 hivi nimedownload. Siku nikimkumbuka nazirudia kuangalia. Wahenga tu ndio wanamkumbuka huyo mbabe hasa kwa No Retreat No Surrender 2 na Matheus jambazi kuu. Mambo ya kisima cha mamba.
Above the law...hivi aliyocheza na Don en inaitwaje
Above the law, I think..
Hahahahahaahili jambazi duu usipime lilimnyanyua cynthia ka limekamata kuku
Undefetable, nadhani... Yani yule nae alikua mbabe kinyosso... Vidole kama cobra...namkumbuka sana kwenye movie ya yule bondia mtoboa macho.
yani yule bondia na ubabe wake wote, kwenye mapenz alikuwa anainua mikono juu.
Alafu limkadala lufufu linatudanya eti ni "Sesilia"Enzi hizo tunamjua kama 'Sinsia' Hehhe kumbe ndo Cynthia.. Alikua ni balaaa
Yes nishamwona kwenye ile martial arts channel flan kwenye dstvAna 60yrs na bado ni martial arts instructor ndiomana anaonekana bado kijana.
Hahahah! Hii movie ya kisima cha mambaDah! Umenikumbusha movie hii "NO RETREAT NO SURRENDER part 2
1:Cynthia Rothrock
2:Loren Avedon
3:Max Thayer
Jambazi Mathius Hues achana baba. Wakati movie ilikuwa movie. Kama kweli vile.
Sent using Jamii Forums mobile app