Malkia wa movie za ngumi Cynthia Rothrock atua nchini Tanzania kula bata

Malkia wa movie za ngumi Cynthia Rothrock atua nchini Tanzania kula bata

Huyu mwanadafada wa kitambo sana. Ninazo movie zake kama 4 hivi nimedownload. Siku nikimkumbuka nazirudia kuangalia. Wahenga tu ndio wanamkumbuka huyo mbabe hasa kwa No Retreat No Surrender 2 na Matheus jambazi kuu. Mambo ya kisima cha mamba.
 
Picha ya kwanza huyo jamaa kadindisha hadi zipu inataka kufunguka[emoji15] [emoji15]
 
Hiyo ya juu picha ya lini?? Nategemea awe mzee sasa hivi.
Wapi Cynthia Khan ma michelle khan pia??

Nakumbuka kitu cha China O'brien, angel of fury, dah, wadada walikuwa wanatoa dozi, hapo niko kwa jirani nimeshaoga naangalia kideo kidogo kimetengenezewa kikabati chake!
The line off duty

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mwanadafada wa kitambo sana. Ninazo movie zake kama 4 hivi nimedownload. Siku nikimkumbuka nazirudia kuangalia. Wahenga tu ndio wanamkumbuka huyo mbabe hasa kwa No Retreat No Surrender 2 na Matheus jambazi kuu. Mambo ya kisima cha mamba.
Chalii wwe wa manzese au Mbagala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
namkumbuka sana kwenye movie ya yule bondia mtoboa macho.

yani yule bondia na ubabe wake wote, kwenye mapenz alikuwa anainua mikono juu.
Undefetable, nadhani... Yani yule nae alikua mbabe kinyosso... Vidole kama cobra...
 
Kuna movie kama mbili kacheza na Richard Norton... Nazo Kali sana, nimesahau title
 
Back
Top Bottom