Malkia wa Nguvu Theopista

Hakuna mtu ambae hataki kuona haki inatendeka kwa yule binti
ila kitendo cha kumshukuia na kumshambulia yule Rpc haikua sawa.
kama ulisikiliza vizuri mahojiano yake kwa njia ya sauti yule mama utaona hakuongea vibaya kuhusu yule binti na kama ulinukuu t vichwa cha habar za utaona yule mama Rpc alikosea
 
Sawa.
 
Mkuu achana na Hawa watu ,unadhan hawajui wanachokifanya ? Wanataka kutotoa kweny reli,,hata huyo mama alkua anajua anachofanya ni uhuni ila kaamua kutest kina Cha maji
 
Nendeni mkaskilize mahojiano kwa njia ya saut ya yule Rpc acheni kunukuu vyombo vya habari kilichoandikwa na alichotamka yule mama ni vitu viwili tofauti
 
1. Hongera Theopista kwa kuwa muwazii, usiyumbishwe.

2. Haiwezekani penye ukweli mtu akulazimishe cha kusema.

3. Mahakama punde itaweka wazi yote.
Umesoma mpaka level gan? Kama ni chuo, ulipata GPA ya ngapi? Na kama una GPA kubwa ulisoma chuo gan??.

Kuna uhusiano mkubwa sana Kati ya IQ ndogo na KUJIPENDEKEZA na unafiki.
 
1. Hongera Theopista kwa kuwa muwazii, usiyumbishwe.

2. Haiwezekani penye ukweli mtu akulazimishe cha kusema.

3. Mahakama punde itaweka wazi yote.
Bila shaka utakuwa miongoni mwa marafiki waovu Sana na pengine umezoea vitendo Kama vile ndo maana kawaida

Hakuna mwenye Akili timamu anayeweza kuwaunga mkono askari wapumbavu wenye haki ya kulinda Sheria za nchi wanazivunja wenyewe makusudi

Hata MTU asiye na Dini hawezi kuunga mkono kitendo kile

Huyu mama Theopista Kama ametetea kitendo kile na yeye afuatiliwe Kwa karibu pengine ni kundi moja

MTU kuwa Malaya au kahaba haindoi utu na uraia wake haimanishi ndo atendewe ukatili Tena na askari wanaolinda raia na Mali zao

Au watuambie ndo michezo yao ya kawaida ya askari wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…