Hakuna mtu ambae hataki kuona haki inatendeka kwa yule bintiOkay, Good luck y’all.
Ila mngetulia hata hapa JF tu mngejifunza kuwa “Hatuna interest ya kujua kuwa huyo binti ni malaya au sio malaya “ haitusaidii kitu. Tunachotaka ni haki itendeke, she didn’t deserve the touture, kupigwa na chupa za bia na kuwa recorded.
Kama ni malaya mtupe ushahidi wa malipo aliyopewa, na bado mtakabiliwa na kosa la kurecord maudhui ya porno” So bado kosa liko pale.
Nini kigumu hapo kuelewa?
ila kitendo cha kumshukuia na kumshambulia yule Rpc haikua sawa.
kama ulisikiliza vizuri mahojiano yake kwa njia ya sauti yule mama utaona hakuongea vibaya kuhusu yule binti na kama ulinukuu t vichwa cha habar za utaona yule mama Rpc alikosea