Malkia wa Nguvu Theopista

Malkia wa Nguvu Theopista

Kumtetea yule Rpc kwa kuwa muwazi hakutaka kuwa mnafiki arudishwe dodoma aendele kuwa Rpc 😄
Okay, Good luck y’all.

Ila mngetulia hata hapa JF tu mngejifunza kuwa “Hatuna interest ya kujua kuwa huyo binti ni malaya au sio malaya “ haitusaidii kitu. Tunachotaka ni haki itendeke, she didn’t deserve the touture, kupigwa na chupa za bia na kuwa recorded.

Kama ni malaya mtupe ushahidi wa malipo aliyopewa, na bado mtakabiliwa na kosa la kurecord maudhui ya porno” So bado kosa liko pale.

Nini kigumu hapo kuelewa?
 
1. Hongera Theopista kwa kuwa muwazii, usiyumbishwe.

2. Haiwezekani penye ukweli mtu akulazimishe cha kusema.

3. Mahakama punde itaweka wazi yote.
Tokaa hapa hivi nyie pol.ta mnadhani watu wote ni darasa la sana mkondo 'B' kama nyie mkwel wa ujinga ?? Tunamtoka 'afande ' awashwe na kesi ya ubakaji na ulawiti section 130,131 na 154 ya penal code
 
Okay, Good luck y’all.

Ila mngetulia hata hapa JF tu mngejifunza kuwa “Hatuna interest ya kujua kuwa huyo binti ni malaya au sio malaya “ haitusaidii kitu. Tunachotaka ni haki itendeke, she didn’t deserve the touture, kupigwa na chupa za bia na kuwa recorded.

Kama ni malaya mtupe ushahidi wa malipo aliyopewa, na bado mtakabiliwa na kosa la kurecord maudhui ya porno” So bado kosa liko pale.

Nini kigumu hapo kuelewa?
1. Malaya si mtu?
2. Viungo vyake ni vya serikali?
3. Malaya ndio wa kudhalilishwa?
Nchi hii ina watu wanafaa kuchomwa mishikaki ....
Sio wewe lkn
 
1. Malaya si mtu?
2. Viungo vyake ni vya serikali?
3. Malaya ndio wa kudhalilishwa?
Nchi hii ina watu wanafaa kuchomwa mishikaki ....
Sio wewe lkn
Shem! Nimemjibu tu ila kiukweli hawadeserve kujibiwa kwa eneji yoyote.

Unless watuambie wanajua wanachofanya hapa, ila habari mbaya ni kuwa labda wakajaribu Fesibuku, humu si mahala sahihi.
 
Kumtetea yule Rpc kwa kuwa muwazi hakutaka kuwa mnafiki arudishwe dodoma aendele kuwa Rpc 😄
Kwamba Binti Malaya alistahiri kupigwa mitishamba nyuma bila kupewa Maji? Na Wewe unaungana nae hivi leo huyo Mama mwanae Wahuni wakimsalandia wakamfanya vile atathubutu kuunyanyua mdomo na kusema mwanangu ni haki yake kufirwa sababu alikua Malaya? Au haujui kwamba Bongo Wahuni hawaishi wakikuamulia unaweza ukapagawa
 
Back
Top Bottom