TANZIA Malkia wa Uingereza, Elizabeth II afariki dunia akiwa na miaka 96

Wa kufanana nae waliwezaje mpata? Ila vibibi vya kizungu vinafanana huwezi juwa.
 
Kwel kifo ni mpango wa Mungu ,huyu malkia ana timu kubwa ya madactari na manesi wako maalumu kulinda afya yake kuanzia kuoga had kula,sasa bibi yangu kijijini ana 102 bado anapeta ,hata bima ya afya hajui ni kitu gan.
Na wototo wanaokufa wakiwa na mwaka mmoja tu ni mpango wa Mungu? Sidhani kama Mungu anapanga siku za vifo.
 
Usinichekeshe tuko msibani mkuu, kwa sisi tungesema?.......lile ombi langu hukulitekeleza ona nae bibi kafa jamani
Kwa kweli dear Bibi kaniumiza sana
Nimechoka sana ila ningeenda Buckingham Palace

Kesho nina safari ya kwenda Man na kurudi ila kesho kutwa nitakuwa Windsor nikatoe pole kwa wananchi wa pale

Halafu nilikuwa Tz ndio nimerudi yaani tuko busy kama bibi mwisho kufa tu
Anyway tupeane pole
Kesho Charles anakuja London namsubiri
 
Sidhani kama amewai liona vumbi ,
 
Goodbye england rose... Mahala sahihi tena kwa mara ya pili nauona wimbo pendwa kule KWA malkia, wimbo wa (elton john Candle in the wind ...(princess diana tribute song)... Mshumaa ndo ushazima! A candle can light in the dark now! And not in the wind! As elton john lied! And sworn to be hon...( sir)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…