TANZIA Malkia wa Uingereza, Elizabeth II afariki dunia akiwa na miaka 96

TANZIA Malkia wa Uingereza, Elizabeth II afariki dunia akiwa na miaka 96

Katika watu waliokula maisha, yaani starehe za dunia hii ni H.M. Queen Elizabeth II.

Kuna sherehe inaitwa ''Operation London Bridge'' yaani mazishi yake yaliyoandaliwa.

Acha apumzike n let her R.I.P
 
Malkia wa Uingereza Elizabeth II amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 96, Kasiri la Buckingham limethibitisha kifo chake.
Akuna marefu yasiyo na ncha, amekalia kiti kwa muda mrefu, na wakati wa mwingine sasa. Apumzike kwa amani.
 
Wanasema alishafariki siku zilizopita, so sad
Alimsalimia Liz Truss na kumwambia akapange safu yake ya mawaziri ila kwa Ile sura alikuwa anaumwa sana na kachoka au aliwekwa wa kufanana nae maana alikuwa kakonda sana na mkono wake ulikuwa mweusi sana sehemu ya nyuma ya kiganja
Ntamkumbuka sana Queen
Alikuwa mpole ila mkali akivurugwa
 
Nafuatilia kwa karibu
Ndugu na wajukuu wamefika Balmoral
Ila wenzetu hawana uongo wala kuficha
Kama anaumwa wanasema
Wauguzi wake wanasema anaangaliwa kwa ukaribu
Ila sisi tungesema yupo bukheri
Usinichekeshe tuko msibani mkuu, kwa sisi tungesema?.......lile ombi langu hukulitekeleza ona nae bibi kafa jamani
 
IMG-20220908-WA0026.jpg
 
Back
Top Bottom