Philip mwenyewe hakuwa king,Nimetoka kucheck wanasema Camilla atakuwa Queen, aliagiza hivyo Queen Elizabeth kabla hajafa
Hawa wanakuwa na mmoja tu either king or queen not both
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Philip mwenyewe hakuwa king,Nimetoka kucheck wanasema Camilla atakuwa Queen, aliagiza hivyo Queen Elizabeth kabla hajafa
Wanasema alishafariki siku zilizopita, so sadWhat a dark day for the UK
Wake wa Wafalme huitwa Queen consort na sio QueenNimetoka kucheck wanasema Camilla atakuwa Queen, aliagiza hivyo Queen Elizabeth kabla hajafa
365x96=35,040Ila kamekula chumvi, miaka 96 si haba, apumzike kwa amani
Akuna marefu yasiyo na ncha, amekalia kiti kwa muda mrefu, na wakati wa mwingine sasa. Apumzike kwa amani.Malkia wa Uingereza Elizabeth II amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 96, Kasiri la Buckingham limethibitisha kifo chake.
Siku ya Jumanne alim "appoint" Liz Truss. Na walikutana.Wanasema alishafariki siku zilizopita, so sad
Alimsalimia Liz Truss na kumwambia akapange safu yake ya mawaziri ila kwa Ile sura alikuwa anaumwa sana na kachoka au aliwekwa wa kufanana nae maana alikuwa kakonda sana na mkono wake ulikuwa mweusi sana sehemu ya nyuma ya kiganjaWanasema alishafariki siku zilizopita, so sad
Usinichekeshe tuko msibani mkuu, kwa sisi tungesema?.......lile ombi langu hukulitekeleza ona nae bibi kafa jamaniNafuatilia kwa karibu
Ndugu na wajukuu wamefika Balmoral
Ila wenzetu hawana uongo wala kuficha
Kama anaumwa wanasema
Wauguzi wake wanasema anaangaliwa kwa ukaribu
Ila sisi tungesema yupo bukheri
Nitawawakilisha baada ya siku kumi ndio mazishiWakuu hakuna fursa ya kwenda msibani? Hapo ubalozi wanasemaje?
Pole sana weka namba ya mpesa tutoe rambirambiNimelia mpak macho yamekua mekundu 😪