TANZIA Malkia wa Uingereza, Elizabeth II afariki dunia akiwa na miaka 96

TANZIA Malkia wa Uingereza, Elizabeth II afariki dunia akiwa na miaka 96

Hakika na yeye siku zake za kuishi hapa duniani zilishatimia kama ilivyokuwa kwa Mr wake Prince Philip.

Apumzike kwa amani.
 
Kwel kifo ni mpango wa Mungu ,huyu malkia ana timu kubwa ya madactari na manesi wako maalumu kulinda afya yake kuanzia kuoga had kula,sasa bibi yangu kijijini ana 102 bado anapeta ,hata bima ya afya hajui ni kitu gan.
Kifo...

Fumbo kwa mwanadamu

Wengine walipiga pushapu kuudhihirishia ulimwengu kuwa wana afya njema.

Mwingine mgonjwa mgonjwa alitabiriwa kuwa atakwenda kufia ikulu....

Fumbo!
 
Kwahiyo hawala yake prince Charles camila ndio atakuwa Queen na Prince Charles kuwa King?
 
Ila tuacheni masihara kuna binadamu wanakua na uzoefu wa pepo ,tangu duniani .mfano huyu malkia akafanikiwa kwenda peponi hatashangaa sana ,maana pepo kaila kweli.ila kuna wengine tumezoea kuungua shida tukifika jehanamu barida tuu,ila tukibahatisha peponi kwanza ntazimia miaka 10000 ,samaanini tunachangamshana
 
Utasikia vyombo vya habari

.... Ni Huzuni Dunia nzima kufuatia kifo Cha malikia ...

......Dunia imetikisikaaa

......Kifo Cha Malikia chaitesa Dunia nzima.

.......Dunia nzima kuombolezaaaaa



Mzungu Matatizo/shida/huzuni yake, ..,ni Matatizo/shida/Huzuni ya Dunia.

Ila Matatizo/Huzuni/Shida ya Dunia sio Matatizo yao !!
 
Kumbena yeye Ni binadamu Kama sisi tu?! Huyu ndio alimuuaga Princess Diane?! Basi muda wake umefika. RIP
 
Back
Top Bottom