TANZIA Malkia wa Uingereza, Elizabeth II afariki dunia akiwa na miaka 96

TANZIA Malkia wa Uingereza, Elizabeth II afariki dunia akiwa na miaka 96

hatimae kafariki aisee! walisema mengi sana kwamba sio binadamu wakawaida mara sijui nini !!

any way kama binadamu anakuja mara moja katika dunia na wakati fulani ataondoka haijalishi ni nani ana ataondoka kwa wakati gani, lakini pia kuja kwa binadamu duniani huwa ni furaha na kuondoka kwa binadamu huwa ni huzuni kwa kiasi kikubwa.

kwa masikito makubwa nasikitika kufariki kwa mama huyo, ajaliwe nuru ya uzima wa milele .

yeye ndie aliye tupa uhuru nchi yetu ndie alietufanya pengine kujulikana tunavyo julikana sasa, wazee wetu walipigana vita vya pili vya dunia kwaajili yake leo hawapo tena wale wa zee naye hayupo tena.

Mungu amsamehe kama binadamu na kumjalia kutaniko naye muumba wake .
 
Screenshot_20220908-205021.png
 
Dah zile projects zake kule Njombe si angeniachia Mimi?! Dah halafu huyu Hana undugu na Tz?
 
Apumzike kwa amani japo Ashakula kula chunvi ya kutosha, acha charls naye atambe
 
Back
Top Bottom