Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimetoka kucheck wanasema Camilla atakuwa Queen, aliagiza hivyo Queen Elizabeth kabla hajafaHapana, Charles atakuwa king bila queen
Queen consortNimetoka kucheck wanasema Camilla atakuwa Queen, aliagiza hivyo Queen Elizabeth kabla hajafa
HujamuombeaMbona kashavuta
Zuzu wewe angalia mudaWewe ni mpumbavu ?
Alizaliwa 21 April 1926 Jijini London, Uingereza
Alifunga Ndoa na binamu yake wa mbali Philip, Mkuu wa Edinburgh
1952: Akiwa na miaka 25, alikua Malkia baada ya kifo cha baba yake akiwa nchini Kenya kwenye ziara ya kifalme
Alitawazwa rasmi Juni 2, 1953 huko Westminster Abbey
2012: Malkia aliadhimisha miaka 60 kwenye kiti cha Umalkia
2015: Akawa Mtawala wa Kifalme wa Uingereza aliyetawala kwa muda mrefu zaidi
2021: Mumewe, Philip Alifariki Aprili akiwa na miaka 99
2022: Alisherehekea kumbukumbu ya miaka 70 tangu kutawazwa kuwa Malikia, Februari 6
Baada ya kifo cha Malkia mtu wa kwanza kupewa taarifa ukitoa wanafamilia na madaktari, atakuwa ni secretari wa Malkia mwenyewe Sir Christopher Geidt. Baada ya hapo atamtarifu waziri mkuu na baadae maafisa waandamizi wa serikali kwa kutumia sentensi THE LONDON BRIDGE IS DOWN taarifa hii ataituma kwa kutumia simu maalumu.
Baada ya hapo ofisi ya mambo ya nje itatoa taarifa kwa nchi zote wanachama wa jumuia ya Madola ambazo Malkia ndio kiongozi mkuu, vyombo vya habari vitatarifiwa kupitia Umoja wa vyombo vya habari, shirika la habari la Uingereza( BBC) na baada ya kupata taarifa hizo waendesha vipindi watalaazimika kupiga wimbo maalumu kama maandalizi ya kutoa habari hiyo! Kuna habari kuwa vyombo vya habari vya The Times na Sky News vimekuwa vikifanyia mazoezi oparesheni hiyo huku wakitumia jina Mrs Robinson badala ya Malkia Elizabeth II.
Baadae taarifa ikiwa kwenye karatasi itawekwa kwenye geti la kuingilia kasri la Buchngham ambayo ndo offisi kuu ya ufalme wa Uingireza na muda huo huo tovuti ya Buchngham itaweka taarifa hiyo na Bunge litaitishwa ikiwezekana ndani ya saa moja ambapo waziri mkuu atalihutubia bunge la makabwela( The House of Commons). Siku moja baada ya kifo cha Malkia Elizabeth II baraza maalumu kwa ajiri ya kumuidhinisha Mfalme au Malkia mpya litakutana katika kasri la S. James na jioni ya siku hiyo bunge litakutana kwa ajili ya kumuidhinisha Mfalme au Malkia mpya!
Utaratibu kama Malkia atafia nje ya Kasri la Kifalme la Buckngham Kama atafia kwenye kasili la Windsor ambalo ni sehemu ya Mali za ufalme au kwenye Nyumba ya Sundningham ambayo ni Nyumba binafsi ya Malkia Elizabeth II, basi mwili wa Malkia utapelekwa Buchngham kwa gari. Kama Malkia atafia nje ya Uingereza basi mwili utapelekwa Uingereza na kikosi cha “The No:32 (the Royal) Squadron” ambalo ni jeshi maalumu la anga kwa ajiri ya familia ya kifalme kupitia uwanja maalumu ulioko eneo la South Ruislip!! Kama Malkia atafia kwenye kasri la Balmoral liliopo Scotland mwili utapelekwa kwenye Cathedral ya mtakatifu Giles na baadae kuchukuiliwa na treni maalumu ya kifalme na kuletwa mjini London! Katika mazingira yoyote yale mwili utachukukiwa na kupelekwa katika kasri la Buckingham ndani ya siku 4.
Mwili wa Malkia utaagwa kitaifa katika eneo la “Westminster abbey” siku tisa baada ya kifo na baadae atazikwa kwenye Jeneza katika kanisa la Mtakatifu George lililopo kwenye Kasri la Windsor.
Nasikia mama anaandaa nguo kwenda msibani!!Tanza-nia itawakilishwa na Nani??
Pepo ipo hapa hapa duniani eroo,na ndio maana wazungu wanaamini hivyoIla tuacheni masihara kuna binadamu wanakua na uzoefu wa pepo ,tangu duniani .mfano huyu malkia akafanikiwa kwenda peponi hatashangaa sana ,maana pepo kaila kweli.ila kuna wengine tumezoea kuungua shida tukifika jehanamu barida tuu,ila tukibahatisha peponi kwanza ntazimia miaka 10000 ,samaanini tunachangamshana
Nasikia mama anaandaa nguo kwenda msibani!!
U could tell from their facesWhen the news reched Lizz Truss earlier today and everything was wrapped up in the house of commons it indicated that the London bridge was down already. Just Charle and his siblings were away in London and they needed to be there before news were published. Rest easy Maam.