TANZIA Malkia wa Uingereza, Elizabeth II afariki dunia akiwa na miaka 96

Mkuu stress gan wakat hachaguliwi na wananchi,bibi yangu stress zake angemuazima malkia ,nafikir hats malkia asingefikisha miaka 50 ,huku kwetu jua linachoma had mifuko
Huku ni matumizi ya nguvu tu kama huyo bibi yako. Si unaona hata wajukuu wake shida tupu.

Yule kijana wake Andrew shida tu, mjukuu wake Harry ndiyo hivyo ameamua kuoa mjane coloured, huku uchumi ukiwa katika hali ngumu. Anatawala kwa remote (vitu vingi lazima vipate go ahead kutoka kwake kabla ya utekelezaji)
 
Msiba huo mzito?
 
Malkia wa Uingereza Elizabeth II amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 96, Kasiri la Buckingham limethibitisha kifo chake.
Tulia uandike vzr, hicho kichwa cha hbr ni matokeo ya kukurupuka kutaka kuwa wa kwanza kutoa hbr.
 
Poleeeee! kila mwenye huruma lazima aumizwe na kifo cha mtu, mpaka nikajikuta naomba Mungu amfikishe mama yangu umri huo.
RIP BIBI.
Niwakilishe kutoa polee.

N.B Unakumbuka one time nilichokutumaga hapo palace? Umekuwa mzembe unastahili viboko😊 ona sasa bibi kashasepa mambo yatabalika, hiyo connection kisha😭😭😭😭
 
Kwel kifo ni mpango wa Mungu ,huyu malkia ana timu kubwa ya madactari na manesi wako maalumu kulinda afya yake kuanzia kuoga had kula,sasa bibi yangu kijijini ana 102 bado anapeta ,hata bima ya afya hajui ni kitu gan.
[emoji3][emoji3] bibi ako hata kijiji hakimtambui hana kazi zaidi ya kutafuna mihogo, acha aendelee kua mzigo kwenye familia
 
pepo ya nani uyu ataingia? msifanye mchezo na pepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…