Hata shikamoo nampa ,ashaniambialuckyline kwa ufupi Black Sniper ni baba yako mambo ya kusema ni kaka yaache kabisaa, huyu mkuu alitupa historia ya vita ya iraq na alikuwepo huko dunia ya kwanza tayari.
Nashukuru mkuu kwa hiloluckyline kwa ufupi Black Sniper ni baba yako mambo ya kusema ni kaka yaache kabisaa, huyu mkuu alitupa historia ya vita ya iraq na alikuwepo huko dunia ya kwanza tayari.
Sio Gulf War tu mkuu way backNi Gulf War (1990-1991) au Iraq War (2003-2011)?
Nashukuru wala usihofuHata shikamoo nampa ,ashaniambia
Mzee Ali Hassan Mwinyi ana miaka 97. Maa shaa Allah.Mwinyi ana miaka mingapi
Allah ampe mwisho mwema. Allahumma ameenMzee Ali Hassan Mwinyi ana miaka 97. Maa shaa Allah.
Aameen. Na sisi piaAllah ampe mwisho mwema. Allahumma ameen
Shikamoo Mzee.Sio Gulf War tu mkuu way back
Vita ya Uganda nilikuwa Secondary school
Na vita ya Iraq/ Iran nilikuwa huko nimevaa combat kwa nchi nyingine jirani
Nilishiriki mengi huko mpaka Saddam anatutimua huko ila nilifanikiwa kuondoka na kuja kwa mudhungu haha
Nchi gani hiyo?Sio Gulf War tu mkuu way back
Vita ya Uganda nilikuwa Secondary school
Na vita ya Iraq/ Iran nilikuwa huko nimevaa combat kwa nchi nyingine jirani
Nilishiriki mengi huko mpaka Saddam anatutimua huko ila nilifanikiwa kuondoka na kuja kwa mudhungu haha
Nchi gani hiyo?
πHata shikamoo nampa ,ashaniambia
ni kweli kabisa na sisi mzidi kutupa mafundisho ya hekma tuweze kuvuka 25-40 salama kama tukijaaliwa kuishi mkuu.Nashukuru mkuu kwa hilo
Humu hatujuani kwa umri mpaka uwe mkweli
Utani usioumiza rukhsa haha
Najua nina wajukuu pia humu
Asante
naona ameeleza mwenyewe mkuu.Ni Gulf War (1990-1991) au Iraq War (2003-2011)?
acha uchunguzi sasa.Nchi gani hiyo?
Amen [emoji120]ni kweli kabisa na sisi mzidi kutupa mafundisho ya hekma tuweze kuvuka 25-40 salama kama tukijaaliwa kuishi mkuu.
Marahaba natumaini upo poaShikamoo Mzee.
Nenda mwalimu,unaturushia stimu. πππNenda mwalimu, neeenda.
Kila msimuNenda mwalimu,unaturushia stimu. πππ
Nalog off Z
Nimeuliza tuacha uchunguzi sasa.