TANZIA Malkia wa Uingereza, Elizabeth II afariki dunia akiwa na miaka 96

TANZIA Malkia wa Uingereza, Elizabeth II afariki dunia akiwa na miaka 96

Sio Gulf War tu mkuu way back
Vita ya Uganda nilikuwa Secondary school
Na vita ya Iraq/ Iran nilikuwa huko nimevaa combat kwa nchi nyingine jirani
Nilishiriki mengi huko mpaka Saddam anatutimua huko ila nilifanikiwa kuondoka na kuja kwa mudhungu haha
Saluti sana mkuu.
 
Asee best kumbe we mjeda?[emoji1787][emoji1787]

( Ila shikamoo sikupi)
 
Watu na kazi zao kwa kweli
Eti body language experts
Screenshot_20220916-122304_Chrome.jpg
 
Vipi noti mpya zenye picha ya King Charlz zimeshachapishwa????
Kuna kiasi cha £80 billions kwenye mzunguko kwa sasa
Ila kwa sasa Bank kuu inasubiri Malkia azikwe kwanza ndio watatoa tamko

Kumbuka ya kuwa kuna nchi nyingi zenye picha ya Malkia duniani zikiwemo Canada, New Zealand na Australia nao pia lazima watabadilisha

Pia picha ya Malkia ipo kwenye Stamp zote za barua nazo zitaondolewa
 
Back
Top Bottom