Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Kwani Mkuu anataka aishi miaka 1000??Kwel kifo ni mpango wa Mungu ,huyu malkia ana timu kubwa ya madactari na manesi wako maalumu kulinda afya yake kuanzia kuoga had kula,sasa bibi yangu kijijini ana 102 bado anapeta ,hata bima ya afya hajui ni kitu gan.
AmetutokaR.I.P Malkia Eliza.
Hata hivyo amekula chumvi sanaBuckingham Palace wametangaza kifo cha Malikia Elizabeth wa 11 muda huu
Habari zaidi kuwajia