TANZIA Malkia wa Uingereza, Elizabeth II afariki dunia akiwa na miaka 96

Wanaelekea kwan ni mbali sana na yy alipo??? Au ni km hapa na USA??[emoji23][emoji23][emoji23]
Malkia huwa anakaa Sana Windsor na ndipo alipokulia akiwa mdogo anapapenda sana
Na Buckingham Palace ni kwake pia ipo London
Ila Balmoral iko Scotland kwa hiyo ni mbali kwani wote wako London na Queen huwa anaenda kupumzika kila mwaka wakati wa kiangazi
 
Siku nikifa Mimi au wewe , kifo chako kitakua habari au kutakua na habari ya kifo Chako?.

Yote Kwa Yote, Mwanadam siku za kuishi zimehesabiwa .


Kifo hakizoeleki!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…