Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Inashangaza MKUUTuache kuwaombea babu zetu na bibi zetu wa Afrika ni mwombee pumbavu aliyeongeoza utawala uliouwa watu wengi sana Duniani [emoji867]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inashangaza MKUUTuache kuwaombea babu zetu na bibi zetu wa Afrika ni mwombee pumbavu aliyeongeoza utawala uliouwa watu wengi sana Duniani [emoji867]
Sasa mkuu hivyo vinchi ndio unavihesabia kuwa navyo vina ufalme wao vinchi vyenyewe vidogooo vipo kama havipo ukizingatia vipo ndani ya south africaHawa ma-princess/prince wanakuwa na ofisi zao kabisa za kuingia na kufanya kazi au ni maneno tuu!...mfano haka ka princess of cornwall nimekapenda sababu tunafanana!! sasa haka kataingia ofisini kafanye nini haka!
Siku UK ikipigwa/kuchakazwa na Russia na China ndo Mwisho wa hii familia ya kifalme!!….Wachoyo sana hawa watu weupe wamezipiga vita familia za kifalme za waafrica weeee!! mpaka wamebaki wenyewe tu!
Na sisi weusi ndiyo wa kwanza kuunda Falme Duniani, wao wamekopi tu!...wakatupiga vita weeee!! ili wabaki peke yao wakiwa na falme zao! AFRICA tumebaki na tufalme tuwili tuu!! Yaani Swaziland na Lesotho!!
usinambie eti na Morocco! siyo weusi wale!...wapi kwingine nimesahau….Bunyoro au....nooo ngoja nije kwanza
Huogopi yakakukuta ya Prince Andrew na rafiki yake Epstein marehemu?Tho ni ngumu kusogelea hii familiya ila kama mzaa ikatokea chance hata kwa kutegeshea mimba nikamkamata mtoto mmoja wa hii familiya.siwezi kuwa mzembe aiseee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapa kuna aatu watasema naota ahaaa kwa mara ya kwanza naweza jirahisisha kwa mwanaume [emoji28][emoji28][emoji85][emoji85][emoji85]
Aah wapi siogopi chochote.Huogopi yakakukuta ya Prince Andrew na rafiki yake Epstein marehemu?
Hivi huwezi kujipendekeza kwa mama mkaja nae kwenye mazishi ili usogee hata lwa kina Charlotte
Na siku ukija lazima nikutembeze kila sehemu ila usiseme sasa utatembea kivyako [emoji1] [emoji1787] [emoji23]Aah wapi siogopi chochote.
Ahaaaa ati nijisogeze kwa mama[emoji38][emoji38][emoji38]loh, mkuu mimi nitakujaga kivyangu mchongo ukitiki[emoji1787]
Mbona leo hujatupa updates?
Yaani nikija itabidi ,kuwekacsawa mambo mapema ni mwendo wa kaka na dada mwanzo mwisho, ikifika wakati wa kuisogelea familiya yenye damu safi kaka inabidi uwe mbali na mimi wasije nisingizia nimeolewa dili likafa🤣🤣🤣🤣🤣Na siku ukija lazima nikutembeze kila sehemu ila usiseme sasa utatembea kivyako [emoji1] [emoji1787] [emoji23]
Leo nilikuwa busy sana sorry
Nimesikiliza tu radio kwenye Gari kuwa tutakuwa na holiday siku ya mazishi na itakuwa official bank holiday
Ila pia nasikia watoto wa Harry watapewa vyeo vyao vya Prince na Princess na Babu yao
Maana ni sheria iwapo ataamua kuwapa wajukuu zake
Hahaha kwa kweli nimecheka sana you have sense of humor [emoji1787]Yaani nikija itabidi ,kuwekacsawa mambo mapema ni mwendo wa kaka na dada mwanzo mwisho, ikifika wakati wa kuisogelea familiya yenye damu safi kaka inabidi uwe mbali na mimi wasije nisingizia nimeolewa dili likafa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aisee mfalme mpya ni mzee sana dah, tho simbaya.wazee ni wa huku bongo walio choka.
Mambo ya kifalme bana mtu anaishigi kwa kusubiri fulani afe achukuwe kiti[emoji849][emoji849]
"Haya mimi ntakusontea tu pa kwenda"Hahaha kwa kweli nimecheka sana you have sense of humor [emoji1787]
Ukiwa Dada ntafurahi sana ingawa nakupita sana kwa umri ninavyowaza lakini
King kanipita kidogo tu maana yake hawezi kunizaa kwa umri wake Bali ni kaka tu kwangu haha
Haya mimi ntakusontea tu pa kwenda
Jana nilikuwa namwambia mwanangu je ungesubiri kuwa mfalme kwa miaka 50 ?
Akasema angefanya yake tu
Sasa imagine huku kama urithi wa nyumba tu watu wanauwa itakuwa ufalme
Ufalme huu jamani
Yaani William kasimama na Queen consort Camilla huku Baba akihutubia daa nafasi ya Di
Ila nae anaweza akasubiri sana kuwa mfalme
Julius Malema Message to Britain on Queen Elizabeth passing. We don't Care
My dear I am over 60 believe me"Haya mimi ntakusontea tu pa kwenda"
Say it again [emoji28][emoji28]Hapa ndo umeongea kiume thatha. i like it. 30's sio mbaya kukuita kaka[emoji1787]
"Jana nilikuwa namwambia mwanangu je ungesubiri kuwa mfalme kwa miaka 50 ?
Akasema angefanya yake tu
Sasa imagine huku kama urithi wa nyumba tu watu wanauwa itakuwa ufalme"
mwanao kwa kiasi fulani alikuwa sahihi, sema hawa damu safi hawafi mapema yaani wana kama uakika wa kufika 80yrs mtu hapo lazima asubiri mtangulizi wake afe
[emoji2960]
"Ufalme huu jamani
Yaani William kasimama na Queen consort Camilla huku Baba akihutubia daa nafasi ya Di Ila nae anaweza akasubiri sana kuwa mfalme"
Kiafrica africa auwawe mwenzie achukuwe[emoji23][emoji23]
Wala sipingi Mungu akulinde ufikishe hata 130yrs.My dear I am over 60 believe me
Back in 1989 that was the year I left bongo kutafuta maisha nje [emoji22]
Labda kukaa kwangu huku naweza gonga 90 [emoji1]
Halafu useme sijakuambia umri
Duuh kongole mkuu yani kumbe humu tuko hadi na baba zetuMy dear I am over 60 believe me
Back in 1989 that was the year I left bongo kutafuta maisha nje [emoji22]
Labda kukaa kwangu huku naweza gonga 90 [emoji1]
Halafu useme sijakuambia umri
Asante sanaDuuh kongole mkuu yani kumbe humu tuko hadi na baba zetu
Umempita mpaka mzee wangu kiumri
Vipi wanao nao wanaishi huko
Thank you my dearWala sipingi Mungu akulinde ufikishe hata 130yrs.
Hatua utayochukua itajaitwa "extraordinary".Tho ni ngumu kusogelea hii familiya ila kama mzaa ikatokea chance hata kwa kutegeshea mimba nikamkamata mtoto mmoja wa hii familiya.siwezi kuwa mzembe aiseee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hapa kuna aatu watasema naota ahaaa kwa mara ya kwanza naweza jirahisisha kwa mwanaume 😅😅🙈🙈🙈
Aiseee hongera sana kwa kukuzaAsante sana
Nina wajukuu wakubwa tu
Wanangu wapo huku
Wahenga tupo wengi humu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bila shaka mama Samia anapanga nguo tayari kwa safari kuelekea msibani