Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
- Thread starter
-
- #21
Hapana, mi nina ID moja tu πππNaona una_switch tu account dadekiπ
Wewe unathibitisha vipi kwanza Mungu yupo kabla ya kuthibitisha uwepo wa KristoMzee wa muongozo Smart911
Wapinga krisho min -me & Kiranga
Mpenda papuchi na hataki kumeza mbegu mzabzab
Binti ambaye ukipita njia yake lazima apite na yako mazima Lamomy
Mdada mwenye moyo mweupe Bantu Lady
Mdada na Simba yake Kalpana
Mbaba mwenye roho yake pendwa Mshana Jr
Kijana shupavu katika kazi yake na ninaemlia timing Active π€
Kijana wa kububujikwa na machozi juu ya mama yake mpendwa Lucas Mwashambwa
Kama siwezi kuthibitisha nitakufa lini kuthibitisha la Mungu nitaweza?Wewe unathibitisha vipi kwanza Mungu yupo kabla ya kuthibitisha uwepo wa Kristo
I'll stick to doing both π πPut the blunt down, pick a book up.
Automatically umekubali hata kama si kwel wewe ni twende tu ili ujiridhishe unachokiamini tu.Kama siwezi kuthibitisha nitakufa lini kuthibitisha la Mungu nitaweza?
Mi nadhani ya kaisari tumwachie kaisari
Usiniambie π³π , we umejuaje au yupo anakukatikia wewe?Huyo yupo bunju anaikatikia muda huuπ
what a devilish actI'll stick to doing both π π
AminaAutomatically umekubali hata kama si kwel wewe ni twende tu ili ujiridhishe unachokiamini tu.
Amekula vya watu vinamtokea puaniπUsiniambie π³π , we umejuaje au yupo anakukatikia wewe?
Dahhh...πDondosha jina la mtu anayekufurahisha JF anavyoandika nyuzi zake au replies.
Mallerina unanifurahisha sana na majibu yako kwenye threads.
Najua siwezi kukuanzishia nyuzi bure bure my future President
Cha mtu huliwa na mtu, chuma tu ndo kinaliwa na kutu.Amekula vya watu vinamtokea puaniπ
Nakuja tuyajenge mzee mwenzangu βΊοΈNjoo PM...π
Haya ndio maneno sasa...πNakuja tuyajenge mzee mwenzangu βΊοΈ
Mshangazi dot com me nakuja huko Pm kwakoDondosha jina la mtu anayekufurahisha JF anavyoandika nyuzi zake au replies.
Mallerina unanifurahisha sana na majibu yako kwenye threads.
Najua siwezi kukuanzishia nyuzi bure bure my future President
Mshua una zingua πNjoo PM...π
naku snitch kwa bimkubwaHaya ndio maneno sasa...π