Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
My babe To yeye thanks 🥰🥰🥰 nakupenda vile unajiamini. Unatoa maoni yako na mada zako kwa uwazi zaidi. Endelea hivyihivyo kuwa wewe 💞💞💞💞💞Mzee wa muongozo Smart911
Mpenda papuchi na hataki kumeza mbegu mzabzab
Binti ambaye ukipita njia yake lazima apite na yako mazima Lamomy
Mdada mwenye moyo mweupe Bantu Lady
Mdada na Simba yake Kalpana
Mbaba mwenye roho yake pendwa Mshana Jr
Kijana shupavu katika kazi yake na ninaemlia timing Active 🤒
Kijana wa kububujikwa na machozi juu ya mama yake mpendwa Lucas Mwashambwa