Mallerina mi nakupenda bure

Mallerina mi nakupenda bure

Mzee wa muongozo Smart911
Wapinga krisho min -me & Kiranga
Mpenda papuchi na hataki kumeza mbegu mzabzab
Binti ambaye ukipita njia yake lazima apite na yako mazima Lamomy
Mdada mwenye moyo mweupe Bantu Lady
Mdada na Simba yake Kalpana
Mbaba mwenye roho yake pendwa Mshana Jr
Kijana shupavu katika kazi yake na ninaemlia timing Active ๐Ÿค’
Kijana wa kububujikwa na machozi juu ya mama yake mpendwa Lucas Mwashambwa
Wewe unathibitisha vipi kwanza Mungu yupo kabla ya kuthibitisha uwepo wa Kristo
 
Dondosha jina la mtu anayekufurahisha JF anavyoandika nyuzi zake au replies.

Mallerina unanifurahisha sana na majibu yako kwenye threads.

Najua siwezi kukuanzishia nyuzi bure bure my future President
Dahhh...๐Ÿ™„
Yaani nimeamini, penye miti hakunaga wajenzi...๐Ÿ˜‹
 
jua kali nikija humu nako maneno makali toka kwa Mallerina au ninywe pombe kali sio kila unaemwona bar ana furaha nishagundua furaha yangu ni wewe Aunt yangu ๐Ÿ˜‚
Jomoni mpwa wangu, njoo nikutulize na kasafari ya baridi.
Halafu tuzungumzie hiyo furaha unayoitaka.
 
Back
Top Bottom