Car4Sale Malori mapya ya kichina yanauzwa

tunaomba specification na bei mkuu! kama kwenye pikpk za Honda
 
Malori yamekaa kiutamu utamu.

Nasubiria kujua bei ya hilo jekundu angalau nijue hata bei
 
tunaomba specification na bei mkuu! kama kwenye pikpk za Honda
hamna shida mkuu. ngoja nizipange vizuri kisha nitume. ila kama ni mdau wa kweli unahitaji malori au magari ya mitsubishi basi nicheki kwenye email jonelias6@gmail.com. au nipigie simu 0767-379412.
 
Hivi hiyo million 160,nikienda zangu kwa Kilimanjaro express/Dar lux pale Nairobi kwa wazee wa Fabrication, Master Fab, au Malva Fab. Siwezi pata Fuso zangu mbili za nguvu?? Au City Bus mbili kali??
anyway kazi njema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…