Car4Sale Malori mapya ya kichina yanauzwa

Car4Sale Malori mapya ya kichina yanauzwa

tunaomba specification na bei mkuu! kama kwenye pikpk za Honda
 
Malori yamekaa kiutamu utamu.

Nasubiria kujua bei ya hilo jekundu angalau nijue hata bei
 
China-suppliers-Sinotruk-howo-a7-construction-equipment.jpg_350x350.jpg
 
Hivi hiyo million 160,nikienda zangu kwa Kilimanjaro express/Dar lux pale Nairobi kwa wazee wa Fabrication, Master Fab, au Malva Fab. Siwezi pata Fuso zangu mbili za nguvu?? Au City Bus mbili kali??
anyway kazi njema
 
Back
Top Bottom