Car4Sale Malori mapya ya kichina yanauzwa

sitrak 390 zimebaki 5 tu na sitrak 430 imebaki moja tu mkuu.
kama una oda kubwa haina shida sisi ni magent tuna import ndani ya miezi 3 mzigo unakuwa tayari umefika na zinawekwa kwenye yadi yetu ya bondi.
 
Wewe ni Mfanyakazi wa Quality Group,
Unaposema Offer zote zinapatikana KWAKO TU unamaanisha nini??
Yaani hata Boss wako hawezi kunipa hizo Offer??
Yaani hata Manji mwenyewe hawezi kunipa hizo offer mpaka nikuone wewe tu??
Msaada please
 
Hamna mbona za kichina ndio yana soko sasahivi. kwa uimara na ubora na vilevile spea ni bei rahisi.

pesa sasahivi ni ngumu bosi, malori ya kichina ndio kimbilio la wanyonge sasahivi. wanaonunua za japan ni wachache.
Mtu mwenye uwezo wa pesa hizo huwezi kumuweka kwenye kundi la wanyonge.
 
Wewe ni Mfanyakazi wa Quality Group,
Unaposema Offer zote zinapatikana KWAKO TU unamaanisha nini??
Yaani hata Boss wako hawezi kunipa hizo Offer??
Yaani hata Manji mwenyewe hawezi kunipa hizo offer mpaka nikuone wewe tu??
Msaada please
naposema offer zinapatikana kwangu tu ina maana ofisi tayari imenipa bei ya kushusha lakini kama mteja amekuja na offer yake ambayo lazima isikilizwe na bosi basi mabosi wanasikiliza na kutoa maamuzi. mimi ndio natangaza na ndio natafuta wateja. mabosi wangu wananisaidia kama kuna issue muhimu ya kutoa maamuzi.
 
hatuuzi nissan mkuu. sisi ni Mitsubishi na HOWO. Tuna Mitsubishi Roza coaster ya siti 30. unaweza kuja ofisini kuiona. nicheki 0767-379412
Niwekee no iliyoko watsap au nicheki 0767320155
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…