- Thread starter
- #61
kama una oda kubwa haina shida sisi ni magent tuna import ndani ya miezi 3 mzigo unakuwa tayari umefika na zinawekwa kwenye yadi yetu ya bondi.sitrak 390 zimebaki 5 tu na sitrak 430 imebaki moja tu mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama una oda kubwa haina shida sisi ni magent tuna import ndani ya miezi 3 mzigo unakuwa tayari umefika na zinawekwa kwenye yadi yetu ya bondi.sitrak 390 zimebaki 5 tu na sitrak 430 imebaki moja tu mkuu.
Wewe ni Mfanyakazi wa Quality Group,HABARI WADAU WA BIASHARA,
TUNAUZA MALORI MAPYA YA KICHINA YA HOWO SINOTRUCK NA SITRAK
MAGARI YOTE NI MAPYA YANATOKA KIWANDANI HAYAJATUMIKA.
OFA ZOTE ZA BEI ZINAPATIKANA KWANGU TU, PAMOJA NA HUDUMA YA MALIPO KWA MIKOPO (CREDIT SALES) KWA WANUNUZI.
SIMU- 0767-379412, 0717-518359,
BEI ZA MALORI MAPYA
HOWO 290 LORI YA TIPPER TANI 10- BEI MILLION 163
HOWO 371 LORI LA KUVUTA TELA TANI 15 - BEI MILLION 140
SITRAK T7 390 LORI LA KUVUTA TELA TANI 15 - BEI MILLION 184
BEI ZA MAGARI MAPYA
MITSUBISHI PAJERO MPYA - BEI MILLION 125.
MITSUBISHI PICK UP DOUBLE CABIN STANDARD - BEI MILLION 67
FUSO CANTER MPYA TANI 4 - BEI MILLION 102.
OFA ZA BEI ZA MWISHO ZINAZUNGUMZIKA KUPITIA KWANGU.
BEI NIMEZIWEKA HAPO JUU NI MAKADIRIO ILA WADAU WAJUE BEI YA DOLA INABADILIKA INABADILIKA KWAHIYO NA BEI HAPO JUU ZINABADILIKA KTK TSHS. BEI INAPANDA NA KUSHUKA.
MTEJA ANAYETAKA ODA YA MALORI MENGI, TUNAMUUZIA BILA SHIDA YEYOTE.
WADAU WA MIKOANI, TAASISI ZA SERIKALI,TAASISI MBALI MBALI, KAMPUNI ZA UJENZI, KAMPUNI ZA LOGISTICS, MAKAMPUNI TOKA CONGO, RWANDA, KENYA NA UGANDA WENYE TENDA ZA MALORI, WANAKARIBISHWA.
WANIPIGIE SIMU +255 767-379412, +255 717-518359,
EMAIL -jonelias6@gmail.com
TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM, OFISI ZETU ZIPO KIPAWA.
AFSA MASOKO. 0717-518359, 0767-379412.
TIANE/DIAMOND MOTORS LTD
Mtu mwenye uwezo wa pesa hizo huwezi kumuweka kwenye kundi la wanyonge.Hamna mbona za kichina ndio yana soko sasahivi. kwa uimara na ubora na vilevile spea ni bei rahisi.
pesa sasahivi ni ngumu bosi, malori ya kichina ndio kimbilio la wanyonge sasahivi. wanaonunua za japan ni wachache.
naposema offer zinapatikana kwangu tu ina maana ofisi tayari imenipa bei ya kushusha lakini kama mteja amekuja na offer yake ambayo lazima isikilizwe na bosi basi mabosi wanasikiliza na kutoa maamuzi. mimi ndio natangaza na ndio natafuta wateja. mabosi wangu wananisaidia kama kuna issue muhimu ya kutoa maamuzi.Wewe ni Mfanyakazi wa Quality Group,
Unaposema Offer zote zinapatikana KWAKO TU unamaanisha nini??
Yaani hata Boss wako hawezi kunipa hizo Offer??
Yaani hata Manji mwenyewe hawezi kunipa hizo offer mpaka nikuone wewe tu??
Msaada please
matajiri wenyewe wanajiita wanyonge. Raisi mwenyewe anajiita raisi wa wanyonge. sisi wote ni wanyonge tuMtu mwenye uwezo wa pesa hizo huwezi kumuweka kwenye kundi la wanyonge.
Gari kama hiyo nissan bei gan
hatuuzi nissan mkuu. sisi ni Mitsubishi na HOWO. Tuna Mitsubishi Roza coaster ya siti 30. unaweza kuja ofisini kuiona. nicheki 0767-379412Gari kama hiyo nissan bei ganView attachment 722048
Niwekee no iliyoko watsap au nicheki 0767320155hatuuzi nissan mkuu. sisi ni Mitsubishi na HOWO. Tuna Mitsubishi Roza coaster ya siti 30. unaweza kuja ofisini kuiona. nicheki 0767-379412