reyzzap
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,813
- 21,807
Unaweza uone utani lakini kwenye uzi huu ndio nikakumbuka kumbe hii nchi ina Makamu wa Raisi???
Huyu jamaa sijui kapotelea wapi pamoja na Shangwe yote ile alipoteuliwa.
Jina lenyewe linakuja na kupotea.
Hiki cheo kipo ki katiba zaidi ila kiutendaji hamna kitu, nilijua ni kipindi cha magu tuu, lakini ona sasa..
Mambo kama haya tungemuona wakati mama Akiwa zake Kenya-Uganda.