Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atapata kila kituHaya mdekezeni
Ikifikia bil. 300 kwa mwezi hata mishahara hamtapata dadeq! Ngoja tudekezwe, tulitaka hivyo.makusanyo yameshuka toka trillion 2 hadi billion 300 kwa mwezi, TRA wanadai kwa sasa matajiri ndo wanapanga kiasi cha kutoa na si kile wanachostahili kutoa, tunakoelekea mungu pekee ndo anajua
Kwan kila kitu akicholalamikiwa JPM alikuwa anafanya yeye? Mbona zigo lote kabebeshwa yeye?yaan wafanyakazi hawaendi kazini management ipo, wizara ipo halafu lawama apewe raisi?
SOURCE OF DATA TUNAOMBA USILAMBISHE WATU MATANGO PORI YA DADA #VEROmakusanyo yameshuka toka trillion 2 hadi billion 300 kwa mwezi, TRA wanadai kwa sasa matajiri ndo wanapanga kiasi cha kutoa na si kile wanachostahili kutoa, tunakoelekea mungu pekee ndo anajua
Zaidi ya Malori zaidi ya 1000 yamekwamaKatika Bandari ya Mjini Dares-Salam Utafikiri wahusika hawapo.
Meneja wa Bandari, Mkurugenzi wa Bandari na Waziri Anayehusika na uchukuzi. Mheshimiwa Rais Mama Samia Hassan Suluhu Wawajibishe hao viongozi watatu .Wanalitia Hasara Taifa kwa kutopata pesa katika Bandari ya Mjini Dares-Salaam .Mambo ya rushwa yamerudi tena Bandarini Mama Rais Fanya kazi yako.
View attachment 1781266
na yule aliyekuwa anapanga meli fulani mapato yaingizwe account fulani alikuwa anapandisha mapato siyo?makusanyo yameshuka toka trillion 2 hadi billion 300 kwa mwezi, TRA wanadai kwa sasa matajiri ndo wanapanga kiasi cha kutoa na si kile wanachostahili kutoa, tunakoelekea mungu pekee ndo anajua
[emoji3][emoji3][emoji3] jamaa mnazi sana aiseeAmeshakuwa dhaifu tena [emoji28][emoji28][emoji28]??? Si tulikubaliana “Mama atatuvusha”
Kazi mnayo kweli kweli, Magu aliwabrain wash kisawasawa. Mnatunga vitu vingi wakati mnayemshabikia kashakwenda zake. Muache Samia ajipange na kazi iendelee, vinginevyo mtaonekana watoto.Leo asubh nilipita ofis moja inahusika na Clearing and Forwarding, wakaanza kupiga stori za Bandari kuwa kuna watumishi sikuhizi hawaendi kazini pale Bandari na ndio maana usumbufu umekuwa mwingi..!! Kwa bahati nzuri akieongea haya ni mmama ila aliweka bayana ile kazi Samia sidhani kama ataiweza maana sasahivi pale uzembe umerudi watu hawaendi ofisn wao kazi yao kuweka miforeni tu ila wale rushwa, akamalizia Tangia Magufuli afariki ni ovyo kabisa.
makusanyo yameshuka toka trillion 2 hadi billion 300 kwa mwezi, TRA wanadai kwa sasa matajiri ndo wanapanga kiasi cha kutoa na si kile wanachostahili kutoa, tunakoelekea mungu pekee ndo anajua
Huu wimbo wa taasisi imara nikusikia huwa nacheka sana! Wajuzi huwa nawauliza mbona USA baba wa demokrasia na taasisi imara kwenye uchaguzi uliopita TRUMP aligomea ikulu na hakuna walichoweza kufanya hadi katoka mwenyewe? Taasisi imara bila kiongozi au viongozi imara haina maana yoyote.Huwezi kuwa na taasisi imara wakati una rasilimali watu yenye mapungufu makubwa kama yetu. Mnalilia taasisi imara kwa watanzania wapi mkuu, hawa wezi, wavivu, wasio wazalendo? Taasisi imara zinaletwa na raia waliokuzwa katika malezi bora.
Naona coment zako nyingi zina jina la Magu[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] huku mada ni msongamano wa magari bandariniSababu ya wivu ina maana wabunge wale wote walio kuwa wana ilalamikia TICTS wana wivu,mimi siamini.
Tuwe wakeli kitu chochote ili kiwe vizuri kina hitaji usimamizi na ufuatiliaji wa ukaribu.Ndio maana Bakheresa ,Mo,Dangote wanafanikiwa sababu wao wanamini ktk wahindi so wakiwaweka hela yao haipotei sababu wanajua kusimamia na kufuatilia.
Najua watu wanamponda sana Magu ila ukweli,bila usimamizi na ufuatiliaji madhubuti wa Magu leo hii hizi barabara zinazo unganisha mikoa zingekuwa zinasuasua na Kikwete alilijua hilo alijua kabisa nikiweka hela hii ktk wizara ya ujenzi na nikimweka Magu lazima mambo yataenda sababu jamaa anajua kusimamia na kufuatilia.
Utake usitake ukubali ukatae Magu alikuwa msimamizi na alikuwa anajua kufuatilia vizuri hasa zile sehemu nyeti.
Huyu mama namuonea huruma kama hana msimamo na hali hii ya sasa uchumi ulivyo tikisika sababu ya Corona mapato yanaweza kupungua zaidi.Mimi wabongo nawajua sio bandari tu, nakupa miaka mitatu mitambo ya SCIPA watu wataanza kuiharibu makusudi na kuna uwezekano SCIPA ikapotelea mbali.
Umeamua kuja kupigilia msumari kabisa