Malori yakwama bandarini Dar, madereva walalamikia ukiritimba na rushwa kurudi kama zamani

Malori yakwama bandarini Dar, madereva walalamikia ukiritimba na rushwa kurudi kama zamani

MATAGA+SUKUMA GANG mna pumzi ya kutosha? Maana naona mnataka kuijaribu sumu kwa kuilamba.

Tena watakaowateka na kuwang'oa kucha na meno bila ganzi ni wasukuma wenzenu.

Acheni hiyo michezo kubalini ukweli kuwa bosi wenu yupo futi sita chini na ameshaoza tayari.
Dah....mkuu umewahi kutumia bandari.....kabla ya JPM.... wakati wa JPM....na baada ya JPM? Au unaandika tu? ,[emoji2960]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zaidi ya Malori zaidi ya 1000 yamekwamaKatika Bandari ya Mjini Dares-Salam Utafikiri wahusika hawapo.
Meneja wa Bandari, Mkurugenzi wa Bandari na Waziri Anayehusika na uchukuzi. Mheshimiwa Rais Mama Samia Hassan Suluhu Wawajibishe hao viongozi watatu .Wanalitia Hasara Taifa kwa kutopata pesa katika Bandari ya Mjini Dares-Salaam .Mambo ya rushwa yamerudi tena Bandarini Mama Rais Fanya kazi yako.


View attachment 1781266
Na bado mtamkumbuka sana JPM
 
Ukweli ndo huo; vifaa vimekufa vyote...huwezi kupakua meli ya Makontena na Mashine moja; hali ni mbaya ikinyesha mvua ndo balaa...naamini sababu moja ya Mama Samia kumtumbua Kakoko ni hiyo; mshenzi sana yule kazi yake ilikuwa kuiba hela wakajenge vituo vya kuuza mafuta kwao Burundi na Rwanda na kuacha bandari iko hoi; Vifaa havinunuliwi, Wakandarasi hawalipwi, Wafanyakazi hawalipwi...Wizi mtupu pumbavu!
Dah....mtaongea Sana...upuuzi....ujinga...na kila mtakaloweza....Ila walipa Kodi tuna macho....masikio na ubongo. Muda si mrefu mtarudi na rangi nyingine. Kuna watanzania million 60 walionjesha asali...
wakati umebadilika....
"Ogopa vitu viwili...Mungu na Teknolojia" - Ruge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Delay zilikuwepo ila nani atamfunga paka kengele nikimaanisha nani ana uwezo wa kusema kwa bwana mkubwa vifaa hakuna..


Ivi unajua pale bandarini hawana uwezo wa kuhudumia meli nne za general cargo halafu zote ziwe zimebeba heavy cargo.....yote hii inasababishwa na vyombo duni
Dah .... Delays hizo mbona hatukuziona? Au walikuwa wanashushia mikono? imekuwa ghafla Sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MATAGA+SUKUMA GANG mna pumzi ya kutosha? Maana naona mnataka kuijaribu sumu kwa kuilamba.

Tena watakaowateka na kuwang'oa kucha na meno bila ganzi ni wasukuma wenzenu.

Acheni hiyo michezo kubalini ukweli kuwa bosi wenu yupo futi sita chini na ameshaoza tayari.
Acha upumbavu watu waongea vitu vya maana wewe unaleta u james delicious jinga kabisa.
 
Utalaumu Watumishi unafikiri meli inapakuliwa kwa mikono? Mwulizeni Magufuli na Kakoko walioiba fedha zote za Bandari wakaiacha haina hata uwezo wa kununua wala kurepea mashine za kupakua na kupakilia mizigo; mnalaumu msiyoyajua...Samia atamwajibisha mfanyakazi asiyekuwa na vifaa vya kazi, na ambaye kwa miaka mitano amedhulumiwa haki zake?
Mbona wajinga mpo wengi namna hii!!?? Inamaana mpaka magufuli anafariki na kakoko anaondolewa hapoa bandarini meli zilikuwa zinapakuliwa na matako yako!?
 
ndio maana wenzetu wamewekeza kwenye uimara wa taasisi maana wanasiasa wanakuja na kupita ila taasisi zpo palepale cku zote, anyway tumwache mama ajipange afanye kazi
Toa ufafanuzi uhimara wa taasisi inatakiwa uwaje? Je anayesimamia hiyo taasisi anatakiwa awaje?
 
Kaka MTU akishakufa amekufa.
tarehe 28 mwezi wa 10 mlipanga yenu.
Na mungu tarehe 17 mwezi wa 3 alipanga yake.
KWANINI HAUTAKI KUKUBALI KUWA ZAMA ZIMEBADILIKA?
Dah....mnapotea Sana...hamjui hata kinachoongelewa..ama kwa ujinga ama kwa ulevi tu...hoja si kutaka JPM arudi...hoja ni kutaka kujaribu kumsitiri Mama na aibu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndio maana wenzetu wamewekeza kwenye uimara wa taasisi maana wanasiasa wanakuja na kupita ila taasisi zpo palepale cku zote, anyway tumwache mama ajipange afanye kazi
Huwezi kuwa na taasisi imara wakati una rasilimali watu yenye mapungufu makubwa kama yetu. Mnalilia taasisi imara kwa watanzania wapi mkuu, hawa wezi, wavivu, wasio wazalendo? Taasisi imara zinaletwa na raia waliokuzwa katika malezi bora.
 
Umeongea ukweli mtu

Vifaa vinavyotumika kupakia na kupakua mizigo vingi vimekufa na mbaya zaidi jamaa mpaka ananyofolewa alikua mzito mno kununua mpaka unajiuliza ivi huyu kakoko hajui kama bandari ni vyombo
Hivyo vifaa vilikufa na Magu? Mbona hapo kabla hii kadhia haikuwepo?
 
ndio maana wenzetu wamewekeza kwenye uimara wa taasisi maana wanasiasa wanakuja na kupita ila taasisi zpo palepale cku zote, anyway tumwache mama ajipange afanye kazi
Sahihi kabisa hata jpk mwenyewe alilazimika kwenda mara kwa mara bandarini na kila mara alikuta mapungufu, , hii ina maana kuwa alipotoka tu watu walikuwa wanaendelea na hamsin zao.
Laiki kungekuwa na taasisi imara , wala kusingekua na shida hiii
Kiufupi tunahitaji katiba mpya.
 
inasikitisha sana!
Uimara wa Bamdari yetu ndio uimara wa uchumi wake na ikilegalega kama ilivyo sasa basi tegemea kuporomoka kwa uchumi wetu.

Bandari bado ni tatizo kubwa ambalo linahitaji vionhozi wetu waweke nguvu zao kwa dhati kabisa vinginevyo.....sijui.
 
Mkuu bado hujajibu swali langu,kama issue ni vifaa vya kupakulia,kwanini wakati wa jpm hakukua na hizo delay? Hilo tatizo limekuja ghafla baada ya jpm kufariki au kuna uzembe tu unatokea?
Si kweli kuwa bandari ya dar haikuwa na delays , infact ndio the slowest port ukanda wa mashariki .

Kilichotokea ni kuwa mlifichwa mabaya yote na mwendazake na kila kitu kilionekana kipo vizuri, niliwahi kupata storage ya mzigo hapo dar port nikalipa pesa nyingi kwa ajili ya uzembe wa ports attendants, the same week Pm yupo hapo akikaripia watendaji.
 
Matatizo yapo siku zote yalikuwa hayaripotiwi; ndo "faida" za kuminya uhuru wa watu kusema!
Nachokiona ni kama umemezeshwa maneno na wewe unaishi nayo hivyo hivyo bila ya kufikiria kwa kina.

Wenzako wametoa hoja inayoeleweka kwamba hiyo foleni inasababishwa na baadhi ya watendaji wa bandari kutofika ofisini ambayo kidogo ina make sense kwamba watengeneze mazingira ya rushwa na mengineyo.

Sasa wewe unavyokuja na hoja ya mitambo ni mibovu je huko nyuma walikuwa wanapakulia nini,maana kwa vyovyote vile swala la foleni lingeripotiwa tu tungefahamu.

Pia Magu asingeweza kuweka pesa kutanua bandari wakati vifaa vya kupakulia ni duni kwa akili za kawaida hilo haliwezekani.
 
Back
Top Bottom