Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Kajitambue kwanza ndipo uje ku debateKuwa na adabu wewe choko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kajitambue kwanza ndipo uje ku debateKuwa na adabu wewe choko
Huyu mama eti nae anajifananisha na magu,,, utopolo mtupu. Mmama hana msimamo wowte, yaan hasomeki na ni dhaifu sana
ndio maana wenzetu wamewekeza kwenye uimara wa taasisi maana wanasiasa wanakuja na kupita ila taasisi zpo palepale cku zote, anyway tumwache mama ajipange afanye kazi
yaan wafanyakazi hawaendi kazini management ipo, wizara ipo halafu lawama apewe raisi?Leo asubh nilipita ofis moja inahusika na Clearing and Forwarding, wakaanza kupiga stori za Bandari kuwa kuna watumishi sikuhizi hawaendi kazini pale Bandari na ndio maana usumbufu umekuwa mwingi..!! Kwa bahati nzuri akieongea haya ni mmama ila aliweka bayana ile kazi Samia sidhani kama ataiweza maana sasahivi pale uzembe umerudi watu hawaendi ofisn wao kazi yao kuweka miforeni tu ila wale rushwa, akamalizia Tangia Magufuli afariki ni ovyo kabisa.
Mkuu kwani wakati wa JPM hiyo mizigo ilikua inapakuliwa na nini? Au hizo mashine za kupakua zimekua na tatizo baada ya JPM kufariki?Utalaumu Watumishi unafikiri meli inapakuliwa kwa mikono? Mwulizeni Magufuli na Kakoko walioiba fedha zote za Bandari wakaiacha haina hata uwezo wa kununua wala kurepea mashine za kupakua na kupakilia mizigo; mnalaumu msiyoyajua...Samia atamwajibisha mfanyakazi asiyekuwa na vifaa vya kazi, na ambaye kwa miaka mitano amedhulumiwa haki zake?
Uongozi ni kipaji na si vinginevyo, uongozi unahitaji kujituma, uongozi unahitaji kufikiri sana, uongozi unahitaji ubunifu, kiukweli huyu mama ni kama ana practice mapishi, mtu wa kumsaidia zaidi alikuwa Majaliwa lakini naye amewekwa kwenye deep freezer
We are finishedNasikia PM kabla hajaingia kwenye awamu ya Bi Mkubwa aliitwa akabananishwa: ^Najua sera yako ni sawa na yule mzalendo wenu. But sasa upepo umebadilisha welekeo wa tanga, tumeng'oa nanga kwa mapanga, hatuendi tena Pangani bali Tanga. Kama upo nasi kubali kupokea maelekezo mapya. Otherwise, I gonna throw you overboard. Do you hear me!???^
PM: ^Hakuna shida. Hakuna shida. Niko na wewe. Nakuunga mkono asilimia 100^
Bi Mkubwa: ^Sawa! Subiri matokeo^
PM (katika shukrani): ^Bi Mkubwa, kwanza napenda kukushukuru sana. Maana baadhi yetu nasi tumejikuta tumo kwenye baraza lako. Asante sana. Asante sana. Nakupongeza sana, sana Bi Mkubwa^
Ameshakuwa dhaifu tena 😅😅😅??? Si tulikubaliana “Mama atatuvusha”Huyu mama eti nae anajifananisha na magu,,, utopolo mtupu. Mmama hana msimamo wowte, yaan hasomeki na ni dhaifu sana
Naona kama kamba imelegea inakaribia kugusa maji, na huko yanakotoka mvua ya mawe inanyeshaAmeshakuwa dhaifu tena 😅😅😅??? Si tulikubaliana “Mama atatuvusha”
Mkuu bado hujajibu swali langu,kama issue ni vifaa vya kupakulia,kwanini wakati wa jpm hakukua na hizo delay? Hilo tatizo limekuja ghafla baada ya jpm kufariki au kuna uzembe tu unatokea?Ukweli ndo huo; vifaa vimekufa vyote...huwezi kupakua meli ya Makontena na Mashine moja; hali ni mbaya ikinyesha mvua ndo balaa...naamini sababu moja ya Mama Samia kumtumbua Kakoko ni hiyo; mshenzi sana yule kazi yake ilikuwa kuiba hela wakajenge vituo vya kuuza mafuta kwao Burundi na Rwanda na kuacha bandari iko hoi; Vifaa havinunuliwi, Wakandarasi hawalipwi, Wafanyakazi hawalipwi...Wizi mtupu pumbavu!
Ameshakuwa dhaifu tena 😅😅😅??? Si tulikubaliana “Mama atatuvusha”
Umeongea ukweli mtuUtalaumu Watumishi unafikiri meli inapakuliwa kwa mikono? Mwulizeni Magufuli na Kakoko walioiba fedha zote za Bandari wakaiacha haina hata uwezo wa kununua wala kurepea mashine za kupakua na kupakilia mizigo; mnalaumu msiyoyajua...Samia atamwajibisha mfanyakazi asiyekuwa na vifaa vya kazi, na ambaye kwa miaka mitano amedhulumiwa haki zake?
Kwamba hajausoma vyemaTatizo dogo tu la kiufundi ni kwamba Bi Mkubwa hakuwemo kumkikao hiko cha makubaliano. Alikuwa ana-rehearse hotuba yake na kufukunyua makabrasha ya uleeee mkataba kichaa wa Bandari ya Bagamoyo.
Delay zilikuwepo ila nani atamfunga paka kengele nikimaanisha nani ana uwezo wa kusema kwa bwana mkubwa vifaa hakuna..Mkuu bado hujajibu swali langu,kama issue ni vifaa vya kupakulia,kwanini wakati wa jpm hakukua na hizo delay? Hilo tatizo limekuja ghafla baada ya jpm kufariki au kuna uzembe tu unatokea?
Kwamba hajausoma vyema